Hatimaye nimempenda mtu kwa kumaanisha na wazo la kuoa limekuja

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Miaka kadhaa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wamekuwa wakiulizia naoa lini lakini nikawa hata siwaelewi.

Sasa kuna binti mmoja, miaka 25, mzuri, anajitambua na mpambanaji nimekutana naye na moyo umemridhia kwa dhati.

Hatimaye sasa wazo la kuoa limekuja na niko tayari kuchukua binti huyu mzuri.
 
Hivi DJ Choka ni UWABATA? Katoa tsh ngapi hapa baada ya kula mzigo kama Kifuta jasho?

Screenshot_20240311-104442.png
 
Miaka kadhaa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wamekuwa wakiulizia naoa lini lakini nikawa hata siwaelewi.

Sasa kuna binti mmoja, miaka 25, mzuri, anajitambua na mpambanaji nimekutana naye na moyo umemridhia kwa dhati.

Hatimaye sasa wazo la kuoa limekuja na niko tayari kuchukua binti huyu mzuri.
Ailililililiiiiiii🎉🎉🎉
Harusi tunayo au hatuna?🔥🔥
 
Uoe bana idadi ya magubegube na magumegume ipungue humu 👊

Glad tidings
 
Miaka kadhaa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wamekuwa wakiulizia naoa lini lakini nikawa hata siwaelewi.

Sasa kuna binti mmoja, miaka 25, mzuri, anajitambua na mpambanaji nimekutana naye na moyo umemridhia kwa dhati.

Hatimaye sasa wazo la kuoa limekuja na niko tayari kuchukua binti huyu mzuri.
Kwa mantiki hiyo tuachie sie tujimwae PM zao. Wewe hangaika na kuoa
 
Mkuu naona umeamua kuwarusha roho Mabinti wa humu walikuwa wanakutoa nishai. Anyway hongera sana ingawa siku zote know zuri na lenye ustawi michakato yake huwa haina makelele
 
Back
Top Bottom