financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Sate sauzand safi kabisa😀😀Si sate hii?? 🤣🤣🤣🤣
Saint Anne nkamu njoo uone sate sauzand
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sate sauzand safi kabisa😀😀Si sate hii?? 🤣🤣🤣🤣
Saint Anne nkamu njoo uone sate sauzand
😂😂😂😂Kila lakheri mkuu, ningekua ni mimi huyo ila kaniwahi binti mbichii(joke)
No tuwaombee ikawe Heri kwao, huenda yupo serious😂😂😂😂
Siamini kama Kuna ndoa hapo kaamua tu kutuchangamsha
Mimi kama audience naomba kujuaSi sate hii?? 🤣🤣🤣🤣
Saint Anne nkamu njoo uone sate sauzand
Sijawahi ona mipango serious inakuwa hivi na matangazo au anataka michango ya kufanikisha jambo?😅No tuwaombee ikawe Heri kwao, huenda yupo serious
No jf is whre we dare to talk and express ourselves openly, mimi namuamini eti naona ni kweli inawezekana kapenda kweli, let's wish them the best hayo mengine watajua wao huko😀Sijawahi ona mipango serious inakuwa hivi na matangazo au anataka michango ya kufanikisha jambo?😅
😂😂😂😂No jf is whre we dare to talk and express ourselves openly, mimi namuamini eti naona ni kweli inawezekana kapenda kweli, let's wish them the best hayo mengine watajua wao huko😀
Usinisahau kwenye kamati moja wapoHarusi inakuja mwisho wa mwaka
dronedrake 😅Tumepoteza Mwanachama Hai.
Chama Kinakutakia Kila La Kheri Upatapo Changamoto Yeyote Usisite Kutoa Taarifa Kwa Wajumbe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Team kataa ndoa[emoji3][emoji3][emoji3]Tumepoteza Mwanachama Hai.
Chama Kinakutakia Kila La Kheri Upatapo Changamoto Yeyote Usisite Kutoa Taarifa Kwa Wajumbe.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 Sate foreverMambo ya sate😆😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 We huelewi kitu, hapo wazee wa codes tu ndo tunaelewaMimi kama audience naomba kujua
Sate sauzand ndo aftatu mpya?
😂😂😂😂 Itabidi ni print T-shirt za SATE SAUZAND niwauzie..!!!😜Sate sauzand safi kabisa😀😀
Kazi Kweli Kweli
President
Dah si ungenipa hata ishara mkuu, ila basi haikua bahati yangu😀 ikawe Heri kwenuMkuu umechelewa kidogo tu, niliwahi kukwambia napenda ustaarabu wako ila sasa hukuchangamkia maongezi yale😂