Si sate hii?? 🤣🤣🤣🤣Hivi DJ Choka ni UWABATA? Katoa tsh ngapi hapa baada ya kula mzigo kama Kifuta jasho?
View attachment 2931163
Ailililililiiiiiii🎉🎉🎉Miaka kadhaa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wamekuwa wakiulizia naoa lini lakini nikawa hata siwaelewi.
Sasa kuna binti mmoja, miaka 25, mzuri, anajitambua na mpambanaji nimekutana naye na moyo umemridhia kwa dhati.
Hatimaye sasa wazo la kuoa limekuja na niko tayari kuchukua binti huyu mzuri.
Mambo ya sate😆😂😂😂😂😂😂Si sate hii?? 🤣🤣🤣🤣
Saint Anne nkamu njoo uone sate sauzand
Uniweke kwenye kamati bossHarusi inakuja mwisho wa mwaka
Kwa mantiki hiyo tuachie sie tujimwae PM zao. Wewe hangaika na kuoaMiaka kadhaa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wamekuwa wakiulizia naoa lini lakini nikawa hata siwaelewi.
Sasa kuna binti mmoja, miaka 25, mzuri, anajitambua na mpambanaji nimekutana naye na moyo umemridhia kwa dhati.
Hatimaye sasa wazo la kuoa limekuja na niko tayari kuchukua binti huyu mzuri.