Hatimaye nimepata kazi

Hivi ndio wanafanyaga hivyo?
Utatapeliwa au utatapeli😂😂😂
Mkwe krismasi kesho tu niunganishe na mwenzangu. Kutapeliwa kupo tu usiponitapeli wewe nitatapeliwa na majirani zangu.
 
Mkwe krismasi kesho tu niunganishe na mwenzangu. Kutapeliwa kupo tu usiponitapeli wewe nitatapeliwa na majirani zangu.

Wewe unataka kunitapeli wewe😅😅😅
 
Mkuu unamwomba mungu upate kazi haramu? Coz umesema Halali / Haramu!!
 
Shida ni kwamba nina vitu viwili ninavyovitumia kunitoa stress. Play Station na sex.

Play Station naiuza.

What follows? Kuna kupata kazi kweli?
Nilidhani siku hizi Arsenal inakupunguzia stress. lol
 
Kwa hiyo sasa hivi unaweza kufanya zinaa kwakua umeshapata kazi au unajitenga nayo ili udumu kwenye kazi?
 
So tunaanza kusex siku ya 41
 
sasa wewe kupata kazi ya ulinzi ndo unataka raia tusitmbe... kuwa na busara siku nyingne bhn... coz mimi siwez kuwa jobless halafu nife kwa nyege never!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…