Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Hata miezi 40..nini siku 40Unazidisha siku 40 bila kusex kama alivyosema huyu bwana?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata miezi 40..nini siku 40Unazidisha siku 40 bila kusex kama alivyosema huyu bwana?
Asante sana. Nakutumia namba zangu umpe. Anaitwa nani?Karibu sana☺☺☺
Sawasawa nimekuelewa
Asante sana. Nakutumia namba zangu umpe. Anaitwa nani?
Mkwe krismasi kesho tu niunganishe na mwenzangu. Kutapeliwa kupo tu usiponitapeli wewe nitatapeliwa na majirani zangu.Hivi ndio wanafanyaga hivyo?
Utatapeliwa au utatapeli😂😂😂
Mkwe krismasi kesho tu niunganishe na mwenzangu. Kutapeliwa kupo tu usiponitapeli wewe nitatapeliwa na majirani zangu.
Sasa kama ulikuwa husomi unategemea muujiza?Mbona tulikua tunakaa bodingi sikuli hadi miezi mi 4 tunafunga na kuomba hatu seksi lakini mbona tulikua tuna feli
Mi sina tabia hizo mkwe. Utapeli na uongo siwezi kabisa. Nitajie hata jina tuWewe unataka kunitapeli wewe😅😅😅
Mi sina tabia hizo mkwe. Utapeli na uongo siwezi kabisa. Nitajie hata jina tu
Sasa kama ulikuwa husomi unategemea muujiza?
Mkuu unamwomba mungu upate kazi haramu? Coz umesema Halali / Haramu!!Baada ya kuomba kazi humu na kutumia neno kuwa kazi iwe halali ama haramu...watu wakaogopa..lakini kotekote Cha muhimu uaminifu....Sasa nimepata kazi nashukuru Mungu...ingawa sio kwa connection za JF lakini mlio Jamiiforum mnaotafta ajira msikate tamaa..Ombeni Mungu...Msi sex ndani ya siku 7-40..msiwe na negative energies..hakika kwa usafi huo na Kumuomba Mungu usiku na mchana Ni lazima atakutimizia..Maana Mungu Ni muaminifu....Mafia rules
Inategemea. Kuna ufauru wa chupi piaKinachokupa ufaulu ni kusoma au miujiza/ maombi?
Asante mama.Atusamehe sote Lokonga, na atusaidie kuacha makosa
Roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu[emoji52][emoji52]
Kumuomba Mungu usiku na mchana 👏7-40..msiwe na negative energies..hakika kwa usafi huo na Kumuomba Mungu usiku na mchana Ni lazima atakutimizia..Maana Mungu Ni muaminifu....Mafia rules
Nilidhani siku hizi Arsenal inakupunguzia stress. lolShida ni kwamba nina vitu viwili ninavyovitumia kunitoa stress. Play Station na sex.
Play Station naiuza.
What follows? Kuna kupata kazi kweli?
😅 Stress za kukosa kazi ni non stop wakati Arsenal inacheza mara moja au mbili kwa wikiNilidhani siku hizi Arsenal inakupunguzia stress. lol
So tunaanza kusex siku ya 41Baada ya kuomba kazi humu na kutumia neno kuwa kazi iwe halali ama haramu...watu wakaogopa..lakini kotekote Cha muhimu uaminifu....Sasa nimepata kazi nashukuru Mungu...ingawa sio kwa connection za JF lakini mlio Jamiiforum mnaotafta ajira msikate tamaa..Ombeni Mungu...Msi sex ndani ya siku 7-40..msiwe na negative energies..hakika kwa usafi huo na Kumuomba Mungu usiku na mchana Ni lazima atakutimizia..Maana Mungu Ni muaminifu....Mafia rules