Hatimaye nimepata kazi

Hatimaye nimepata kazi

Hivi ndio wanafanyaga hivyo?
Utatapeliwa au utatapeli😂😂😂
Mkwe krismasi kesho tu niunganishe na mwenzangu. Kutapeliwa kupo tu usiponitapeli wewe nitatapeliwa na majirani zangu.
 
Baada ya kuomba kazi humu na kutumia neno kuwa kazi iwe halali ama haramu...watu wakaogopa..lakini kotekote Cha muhimu uaminifu....Sasa nimepata kazi nashukuru Mungu...ingawa sio kwa connection za JF lakini mlio Jamiiforum mnaotafta ajira msikate tamaa..Ombeni Mungu...Msi sex ndani ya siku 7-40..msiwe na negative energies..hakika kwa usafi huo na Kumuomba Mungu usiku na mchana Ni lazima atakutimizia..Maana Mungu Ni muaminifu....Mafia rules
Mkuu unamwomba mungu upate kazi haramu? Coz umesema Halali / Haramu!!
 
Shida ni kwamba nina vitu viwili ninavyovitumia kunitoa stress. Play Station na sex.

Play Station naiuza.

What follows? Kuna kupata kazi kweli?
Nilidhani siku hizi Arsenal inakupunguzia stress. lol
 
Kwa hiyo sasa hivi unaweza kufanya zinaa kwakua umeshapata kazi au unajitenga nayo ili udumu kwenye kazi?
 
Baada ya kuomba kazi humu na kutumia neno kuwa kazi iwe halali ama haramu...watu wakaogopa..lakini kotekote Cha muhimu uaminifu....Sasa nimepata kazi nashukuru Mungu...ingawa sio kwa connection za JF lakini mlio Jamiiforum mnaotafta ajira msikate tamaa..Ombeni Mungu...Msi sex ndani ya siku 7-40..msiwe na negative energies..hakika kwa usafi huo na Kumuomba Mungu usiku na mchana Ni lazima atakutimizia..Maana Mungu Ni muaminifu....Mafia rules
So tunaanza kusex siku ya 41
 
sasa wewe kupata kazi ya ulinzi ndo unataka raia tusitmbe... kuwa na busara siku nyingne bhn... coz mimi siwez kuwa jobless halafu nife kwa nyege never!
 
Back
Top Bottom