Hatimaye nimepata mke bora kutoka Badoo

Kupata vichekesho kama hivyo tunabonyeza ngapi ngapi mkuu..?

Jipe Muda, hilo Picha ndio kwanza director ameagiza Camera...
 
Kwamba alishawahi kufanya mapenzi mara moja ila tuseme bado ni bikra ebu tumia kidogo akili yako kufungua hiyo code
 
Fresh tu,mbona hata wa mtaani ni vichomi tu.Mtakapoishia ndo hapohapo kikubwa jitahidi Mali zingine kutokumfichulia,mwache atambue nyumba na gari tu ili mkishindwana mgawane ivo tu lakini kumbe vipo ulivyowekeza ambavyo mama ako au ndugu anavitambua ili ukifa visipotee bure
 
haaaa nipe jina lake
 
Mnaijua badoo au mwaisikiaga?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwanamuqawanna mbona leo hujazingatia itifaki.

Kwani taarifa hazijapitia makao makuu pale Tehran zikasainiwa na Ayatollah na kusomwa mbele ya wapigania haki wa Quds forces. Sema uko Badoo nilichungulia mara moja sahivi huwa wananisumbua na spam zao kwenye email
 
Mkuu tunaomba picha yake maana isijekuwa kila njemba humu zishampiga spana
Pia na yeye akuonjeshe b4 ndoa maana usijekuta bwawa la mtera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…