Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
AnatuzodoaUnatuambia?? Unatutaarifu?? Au unatuzodoa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AnatuzodoaUnatuambia?? Unatutaarifu?? Au unatuzodoa??
Dogo jitahidi uwe na adabu itakusaidia sana maishani.Inshallah Allahu akbaru
[emoji23]Hongera kwa kumpata aliye bora kwako [emoji120][emoji120][emoji120]
Kwani na wewe upo badoo?Wivu tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kimsboy wake wazuri wapo kwenu Iran.
Kwanini bulaza?Dogo jitahidi uwe na adabu itakusaidia sana maishani.
haaaa nipe jina lakeWakuu,
Hatimaye nimeopoa bonge ya mwanamke kutoka mtandao wa Badoo.
Tunatarajia kufunga ndoa ya fasta maana ni binti nzuri sana nafanya hivi ili nisije nikawahiwa maana ni mrembo balaa.
Nilichompenda ni kwamba ameniambia ashawahi kufanya mapenzi mara moja tu na tuseme bado ni bikra.
Nashukuru badoo imenipa mke bora mtoto mweupeeh
Wakuu
Au unataka kufukuza panya badala ya paka ukafuga mbuzi🤣🤸🐒Mkuu kuoa badoo ni sawa na kupanda shamba la miwa karibu na shule ya primary