Hatimaye nimepata mke bora kutoka Badoo

Hatimaye nimepata mke bora kutoka Badoo

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Wakuu,

Hatimaye nimeopoa bonge ya mwanamke kutoka mtandao wa Badoo.

Tunatarajia kufunga ndoa ya fasta maana ni binti nzuri sana nafanya hivi ili nisije nikawahiwa maana ni mrembo balaa.

Nilichompenda ni kwamba ameniambia ashawahi kufanya mapenzi mara moja tu na tuseme bado ni bikra.

Nashukuru badoo imenipa mke bora mtoto mweupeeh

Wakuu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mnaijua badoo au mnaisikiaga?

Nimeona niwafurahishe tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Eti nioe mke wa badoo nitakua kichaa aisee[emoji1787][emoji1787]
 
Umempima ngoma? Kuna mwenzako kaopoa kutoka tinder baada ya kumpima ngoma imetiki akakimbilia Jf kuanzisha thread.
Wakuu

Hatimaye nimeopoa bonge ya mwanamke kutoka mtandao wa badoo

Tunatarajia kufunga ndoa ya fasta maana ni binti nzuri sana nafanya hivi ili nisije nikawahiwa maana ni mrembo balaa

Nilichompenda ni kwamba ameniambia ashawahi kufanya mapenzi mara moja tu na tuseme bado ni bikra.

Nashukuru badoo imenipa mke bora mtoto mweupeeh

Wakuu
 
Back
Top Bottom