Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

Ila majibu yako, wakati mwingine unayajua mwenyewe [emoji3][emoji3]
 
Ninajua pesa anazipata wapi.
Ni pesa Safi kabisa na zinalipiwa Kodi na fungu la kumi.
Kuna wakati ili mbarikiwe mnatakiwa mfurahie furaha za wengine.
Mfanyie yote Kwa heshima na taadhima Ila usikosee kutegesha mimba kama kulipa fadhila utaumbuka, maana mifano kama yako ninayo mingi, ke tunaamini kama kaweza kulea mtoto wa mwenzie hashindwi na wake, mfunge ndoa kwanza hawanaga muamana hao, ukizaa anakukimbia. Una Rudi kuwa "single mama" wa wawili na kujikuta sketi umeigeuza bila kukijua ndani nje
 
Tukipata wapenzi...hebu tutulizane.. penzi likinoga unatamani kuitangazia Dunia.

Tulia enjoy penzi lako... Jipeni muda... Hakuna penzi linaonza vibaya.

Uchumba hautangazwi inatangazwa ndoa
Hilo nalo neno naona huyu Dada alikuwa desperate sana na mwanaume, sasa kampata hajakaa nae hata muda keshakuja huku kutangaza you never know mambo ya mbeleni huko maana moyo wa mtu kichaka
 
K
Hahah penzi jipya huwa tamu subiri mzoeane sasa. Taratibu tu kwan yana muda basi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ngoja jamaa aanze kupewa uchi kwa ratiba!
Kweli angalau Angekuwa amekaa nae hata miaka minne sawa, sasa mwezi tu keshajiachia hivyo, mbutaa
 
Points
 
In your dream babe[emoji57]
 
Uzi nyingine ni za kutufanya tujiskie vibaya, au tujisikie hatuna bahati.btw hongera sana.

Mpelekee mama yake zawadi mwambie "asante mama kunizalia mme mwema"
ww katoto ntakupeleka unyamwezn una hekima sana
 
Nakuombea,Msije mkumbuka EX wako au Baba wa mtoto...jamaa ski drop financially tu..maaana hamchelwi...OTHERWISE MUNGU AWE NANYI
 
Nilisema nilelewe Kama yai watu wakanicheka na kuandika " mtu mwenyewe singe mom masharti kibao" lakini nawaambia nimepata wa kunilea zaidi ya yai.
Mungu anakupa unachokitaka.
Je umsomi na una kipato?
Naelewa kila Mwanadamu anahitaji mapenzi, ila ulivyolalamika juu ya malezi ya mtoto, ni kama vile hukuwa na kipato cha kujimudu.
Wewe unalalamika kumpigia mzazi mwenza juu ya kuugua kwa mtoto mmoja, je wajane wenye watoto, wengine mmoja, wawili mpaka watano, na wana furaha, wana pambana!
Kila la kheri katika maisha yenu na huyo bwana mwenye nazo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…