Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

Njaa ya hela banawe, si kaandika mwenyewe na kukiri hajawahi pata upendo wa aina hio wa kupewa mipesa. Alipokuwa akiomba ela za ada kwa ma EX walikuwa wanamtia Bloko [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Mwanamke hawezi kumsifia mwanaume hivi kama hamjazi mihela.
Ila majibu yako, wakati mwingine unayajua mwenyewe [emoji3][emoji3]
 
Ninajua pesa anazipata wapi.
Ni pesa Safi kabisa na zinalipiwa Kodi na fungu la kumi.
Kuna wakati ili mbarikiwe mnatakiwa mfurahie furaha za wengine.
Mfanyie yote Kwa heshima na taadhima Ila usikosee kutegesha mimba kama kulipa fadhila utaumbuka, maana mifano kama yako ninayo mingi, ke tunaamini kama kaweza kulea mtoto wa mwenzie hashindwi na wake, mfunge ndoa kwanza hawanaga muamana hao, ukizaa anakukimbia. Una Rudi kuwa "single mama" wa wawili na kujikuta sketi umeigeuza bila kukijua ndani nje
 
Tukipata wapenzi...hebu tutulizane.. penzi likinoga unatamani kuitangazia Dunia.

Tulia enjoy penzi lako... Jipeni muda... Hakuna penzi linaonza vibaya.

Uchumba hautangazwi inatangazwa ndoa
Hilo nalo neno naona huyu Dada alikuwa desperate sana na mwanaume, sasa kampata hajakaa nae hata muda keshakuja huku kutangaza you never know mambo ya mbeleni huko maana moyo wa mtu kichaka
 
K
Hahah penzi jipya huwa tamu subiri mzoeane sasa. Taratibu tu kwan yana muda basi 😂😂😂 ngoja jamaa aanze kupewa uchi kwa ratiba!
Kweli angalau Angekuwa amekaa nae hata miaka minne sawa, sasa mwezi tu keshajiachia hivyo, mbutaa
 
Mkuu uko desperate Sana, usifurahie tu pesa usizojua jamaa kazipata wapi na kwa njia gani. Hizi tabia za kutaka ready made, zimeponza wengi usijejikuta unakuwa mbuzi wa kafara wewe na mwanao kwa ajili ya umilionnaire. Watch out in prayers. Kila la kheri.
Points
 
Sijui ni mimi tu ama, maana kila nikisoma napata jibu kuwa KUMBE ULIKUWA UNATAFUTA "AJIRA" NA SIO "MUME".
Ma-Sponsor na tuheshimiwe!! itabidi tuanze kulipa VAT (value added tax) kwa hizi Sponsorship Deals tunazogawa.
Wacha na mie nitafute "Single Mother" ambaye bado hajiwezi financially ili nimpe Sponsorship na Employment in the name of Love.
In your dream babe[emoji57]
 
Uzi nyingine ni za kutufanya tujiskie vibaya, au tujisikie hatuna bahati.btw hongera sana.

Mpelekee mama yake zawadi mwambie "asante mama kunizalia mme mwema"
ww katoto ntakupeleka unyamwezn una hekima sana
 
Nakuombea,Msije mkumbuka EX wako au Baba wa mtoto...jamaa ski drop financially tu..maaana hamchelwi...OTHERWISE MUNGU AWE NANYI
 
Nilisema nilelewe Kama yai watu wakanicheka na kuandika " mtu mwenyewe singe mom masharti kibao" lakini nawaambia nimepata wa kunilea zaidi ya yai.
Mungu anakupa unachokitaka.
Je umsomi na una kipato?
Naelewa kila Mwanadamu anahitaji mapenzi, ila ulivyolalamika juu ya malezi ya mtoto, ni kama vile hukuwa na kipato cha kujimudu.
Wewe unalalamika kumpigia mzazi mwenza juu ya kuugua kwa mtoto mmoja, je wajane wenye watoto, wengine mmoja, wawili mpaka watano, na wana furaha, wana pambana!
Kila la kheri katika maisha yenu na huyo bwana mwenye nazo!
 
Back
Top Bottom