Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

Mbona Kama akifilisika story itabadilika
 
Ninakupenda kufa G wangu, penzi lako tamu tamu zaidi ya asali
 
Unaweza kuamini hapo sijaandika hata theluthi ya aliyonifanyia G.

Na siwezi kuandika sababu najua itakuwa mjadala na wengine wataona ninaota.

Ila ni mwanaume bora kabisa, mwanaume wa pekee
 
Aisee nmesoma hadi nmesisimka, hakika mungu hamtupi mja wake
 
Aisee nmesoma hadi nmesisimka, hakika mungu hamtupi mja wake
Amina dada, yaani ukiniona sasa hivi ninavyowaka heshima ninayopewa hatariiiiii, wale wote waliokuwa kando na walionipa matusi na kejeli wanajirudisha ila nimewaweka kando.

Hakika humu ndani kuna wanaume bora kabisaaaa, halafu G mwenyewe mpole hana makuu ananionyesha mapenzi tu siku hadi siku, ananidekeza siku hadi siku, ananinogesha kila siku.

Nyumba yangu imekuwa na baraka sana ana amani na furaha tele.


Sasa huvi eti wanaume ndo wananiona na kunijua na kusumbua.

Hakika hawana nafasi aliponitoa ni mbali mnoooo, na tunaoenda ni mbali zaidi.

Mwaka tushaumaliza ni kama vile tumejuana jana.

G baba "miminimama" nakupenda sana.
 
Wangapi wana hela lakini hawaoneshi mapenzi kwa wake zao?wangapi wana maisha mazuri lakini hawana amani?

G ana mapenzi na mapenzi aliyonionyesha sijawahi kuyapata, moyo alionao sijawahi kuuona.
Halafu acheni wivu basi kuna pesa na kuna mapenzi.

Nyie mnaona pesa tu hamuoni mapenzi, poleni sana.
Halafu akifilisika mimi sasa hivi ndo ninapesa kumzidi yeye.

Ninapesa kweli kweli yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…