Af tukisema hamna mwanamke mgumu mbele ya hela mnashupaza shingo. Hela ikiwekwa mfululizo hata bf wako unamsahau kwa mudaPesa..Ni SABUNI ya roho jamani... Utii unaongezaka kwa mwanaume angejua majukumu yake....
😀😀😀😀huyo mdada uliemtaja ana stress za maishaMwanzo 3:16
Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
Yaani tukiwaambia humu utukufu wa mwanamke ni kwa mwanaume na ndipo ilipo furaha ya kweli ya mwanamke cariha anasema mfumo dume.
Hongera kwa kumpata Baba yako mheshimu na uyalinde maono yake
Usimitishe kurogwa...hata Wewe unaweza kurogwa ukajinyea tu Miaka... Kurogana wanarogana ndugu.. sembuse watu baki.Angalizo: Asiwe mume wamtu utarogwa kubleed maisha yako yoteee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... mwanamke matunzo baana Sasa mwanaume mkuna pumbu Nani aanataka..Af tukisema hamna mwanamke mgumu mbele ya hela mnashupaza shingo. Hela ikiwekwa mfululizo hata bf wako unamsahau kwa muda
Nimeinukuu hii 😝😝😝[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... mwanamke matunzo baana Sasa mwanaume mkuna pumbu Nani aanataka..
Kwakweli ..huyu kapata sponsor naona atakua alifuata maelekezo ya yule mleta Uzi wa namna ya kumpata sponsor..sasa umempenda au ni sponsor wa maisha yako. maana naona unaelezea kama umepata sponsor
😂😂😂😂😂😂 maisha ya ustaa yatawaua wabongo.Kwakweli ..huyu kapata sponsor naona atakua alifuata maelekezo ya yule mleta Uzi wa namna ya kumpata sponsor..
Angesifia utu wake na anavyomjali mtoto wake... Lakini yeye kajikita zaidi kwenye pesa...na ajue zinakotoka..
Maana wakina Shamim Mwasha wapo jela kwa sababu ya waume zao kufanya Mambo ya ajabu kupata pesa.
Mshupaze shingo mwenzakoUsimitishe kurogwa...hata Wewe unaweza kurogwa ukajinyea tu Miaka... Kurogana wanarogana ndugu.. sembuse watu baki.
Mtu yeyote mwenye wivu anaweza kukuroga.. na unaweza ukawa hujawai mfanyia baya
I'm sure...the power of beliefs will heal you...keep believing dear, Ila usije ukamfanyia unafiki ukarudi ulipotoka UTAJUTAAA...Hakuna tatizo nikifanya yote.
Na lengo la G ni Mimi kuwa millionaire.
Amini nipo kwenye mikono salama.
Mkuuu hatuishi maisha haya kwa kuogooa kurogwa... Wewe fanya maisha yako..kwa njia HALALI... Ukisemakila hatua unaogopa kurogwa... Khaaa kalagabahooMshupaze shingo mwenzako
Mkuuu...umepata mwanaume na lengo lake nikukufanya Wewe kuwa millionaire...Aiseeee huyu kweli umepataHakuna tatizo nikifanya yote.
Na lengo la G ni Mimi kuwa millionaire.
Amini nipo kwenye mikono salama.
Ninajua pesa anazipata wapi.Mkuu uko desperate Sana, usifurahie tu pesa usizojua jamaa kazipata wapi na kwa njia gani. Hizi tabia za kutaka ready made, zimeponza wengi usijejikuta unakuwa mbuzi wa kafara wewe na mwanao kwa ajili ya umilionnaire. Watch out in prayers. Kila la kheri.
Chief huyu kabarikiwa upendo na kabarikiwa na hela pia.Anajifariji tu, hela zina mapito ila upendo wa kweli hauishi. Yeye kavutiwa na pesa za kidume ila siku zikikata jua itakula kwake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama ni hilo kweli basi hongera zake zimfikieChief huyu kabarikiwa upendo na kabarikiwa na hela pia.
Sasa kwa nini unataka nipende kimoja?
Ananipa furaha na amani.
Upendo wake hauelezeki.
Una streas sana wewe.Hapo kaonesha dhahiri kilichokuwa kinamkosesha amani alikotoka ni baa la njaa! Ila amepata pa kupumzikia sasa.
vizuri, sijawahi kuwa na stress kabisa🤣🤣🤣Una streas sana wewe.
Be humble won't cost you anything.