Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

hata wanawake wazuri pia wapo tena hapa hapa ndani bt tatizo lako umeelezea kama unataka sifa na kuwatambia watu ndo maana bandiko likataka geuka chai
Pole hata halikuwa lengo hilo.
Kwa kupata nimepata kweli.
Lengo Ni kuleta mrejesho na watu kutokukata tamaa.
 
Soma tena basi.
Uelewe.
Hapa unaongopa.
Umejaa sumu sana wewe.
Una shida gani?
 
Mama G anahitaji baby shower kwakweli..[emoji23][emoji23].

Am happy for you my dear..Mungu wetu azidi kuwalinda na mzeeke pamoja wallah..[emoji179]

Hivi G ana kaka ake ?[emoji848][emoji23][emoji23]
Wataachana tu [emoji1787][emoji1787].

Kauli hii isitafsiriwe kuwa nina roho mbaya ila ngoja tusubiri jamaa ale ashibe ndiyo tutajua sura yake halisi.
 
Sasa ulitaka nimjibu vipi?huyo Kaka amekaza na pesa pesa pesa.
Inakera.
Mkuu...Wewe mwenyewe umesisitiza Sana pesa... Kuwa anakupa pesa.. na lengo lake Ni kukufanya millionaire.
 
MWANAMKE YEYOTE ALOZAA NI MKE WA MTU
 
Hizo hongera unazopewa na wanawake wenzako zichunge sana, wengine watakuibia mume.

Am out.....
 
Hamna kitu hapa tushajua kisa tajira




Ila single mother huwa mnaficha makucha yenu kwa mda baadae hamkawihi kurarua MTU



Anyway hongera
 
Iwe nikitaka kuoa nitamleta mke mtarajiwa kwako aje kupata ABC za kuishi na mimi.
 
Hamna kitu hapa tushajua kisa tajira




Ila single mother huwa mnaficha makucha yenu kwa mda baadae hamkawihi kurarua MTU



Anyway hongera
afu single mother wengi hawana mapenzi ya kweli bali wanafuta wanaume wa kuwalelea watoto zao
 
Ukweli mchungu
 
Mtaachana tu!!! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwani yana muda basi?

Kweli single mom kapata asante kama zote!

Uniombee na mimi natafuta jamani.
 
Ninajua pesa anazipata wapi.
Ni pesa Safi kabisa na zinalipiwa Kodi na fungu la kumi.
Kuna wakati ili mbarikiwe mnatakiwa mfurahie furaha za wengine.
Hongera mwaya, kweli subira ya vuta heri! mpende na kumheshimu.
 
I'm happy for you finally God wiped ur tears best of luck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…