Hatimaye nimerudiana na mpenzi tulieachana naye

Kwamba mwili wa mpenzi wako ukapigwa na ganzi na vinyweleo kusimama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwani wewe upo kwenye mwili wake hadi upate hizo hisia ? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Baada ya kumleta nyumbani, akanieleza hali haliyokuwa akipitia tulipoachana na tulipoonana.
 

Nitaanzisha Uzi wa kupata HIV kimasihara
 
Malaya huyo kutwa sehemu za starehe
Ni dada anayefanya biashara zake na anamiliki grocery kadhaa, na kabla ya kuwa naye nilitafuta abc zake, na nikaona ana sifa za kuwa na mimi.

Nb: Wakati mwingine starehe ni muhimu kwa maisha ya mwanadamu kwa sababu hakuna ulimwengu mwingine tutaenda kufanya starehe, tusijitese sana wakati ata huko mbinguni tunapokwenda hatupajui zaidi ya kuliwa na mchwa huko ardhini.​
 
SEASON 2 HEKAYA ZA EQUATION X
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…