Hatimaye nimetimiza miaka 30 ila sina mbele wala nyuma naombeni ushauri

Hatimaye nimetimiza miaka 30 ila sina mbele wala nyuma naombeni ushauri

Mkuu mbona wengi hatuna mbele wala nyuma tunaishi kwa milo miwil tu ili tuishi na kuishi kwenye nyumba za kupanga au umemanisha nn mkuu hemu fafanua basi
Hali ya maisha imekuwa ni ngumu
Sana na hadi sasa sijafanya kitu
Chochote kile cha kimaendeleo
 
If you can't be handsome in twenties.
If you can't be strong in thirties.
If you can't be rich in fourtys.
If you can't be wise in fiftys

Ndugu yangu apo ndo utakuwa umemaliza
Naomba ufafanuzi

Kama hiyo 20's na 30's imekupita bila kufanya hayo na sasa upo 40's na ume-achive je uko safe au bado majanga?
 
ha ha mkuu, cha kwanza kukushauri kabisa ni kusali kwa imani yako, kuna nguvu kubwa sana katika maombi, na siku zote unapotaka kitu all the universe conspire for you to achieve it

Pili ni kukata aina ya marafiki ulionao, na pia mambo unayoyafanya kwa mda huu yasiyo na tija kama kukaa kijiweni, bar, ku bet n.k

"Cut all the grass, so that all snakes around you run away"

Pili, tafuta marafiki wapya, shughuli mpya ya kufanya hata kama ni ya kujitolea, hata kama ni banda nyumbani tengeneza, usikae tuu fanya kitu

***kuna dogo nilikuwa ninakaa naye home (kwa mzee kipindi icho) akawa mvivu sana na nikirudi anaomba hela, hamna kitu anafanya, nilimpa changamoto, leo hii ana kampuni yake ya landscaping, mimi nilimuambia tuu kwenye maua pale home lisizidi ua wala jani, kusikauke ua, wala uchafu wowote nisione, nitampa hela anapohitaji, leo hii ana kwake na anafanya shughuli zake na anaendelea kukua****

images-7.jpg


Acha dharau, tafiti zinaonyesha biashara ndogo zikiwa multiplied zinatengeneza faida kuliko kawaida, fungua biashara ndogo kabisa utakayoweza ku afford, then multiply it


downloadfile.png



zaidi ya yote, kukata tamaa ndio uchawi unaendelea kukuloga, leo huna nyuma wala mbele, kesho utakuwa na nini?acha kukata tamaa

Mwisho kabisa nikutakie Happy birthday, 30 years mzee si michache, mimi nitatimiza mwakani Mungu akijalia
 
Wakati mwingine majina tunayotumia nayo yana ukakasi kidogo.

Sasa jina lako ni Msela wa manzase,

Picha ni sijui ndo yule waziri wa maji wa S. Sudan!

Ngoja nimalizie hii mihogo nitarudi kukushauri mkuu!
 
Wanasema mipango ya mungu haichelewi wala kuwahi inatokea kwa wakati sahihi

Mwenzio wakat nafikisha miaka kama hiyo ndio nlianza kuona mambo yanakaa vzr sasa
 
Back
Top Bottom