Hatimaye nimeweza kuinstall windows 11 kwenye pc yangu Unsupported

Daah kweli hakuna lisilowezekana chini ya jua leo nimeweza kuwa Uptodate naenjoy na Windows 11 kwenye 2GB RAM PC
Mbona inawezekana sana especially ukiwa na core duo processor but ita lag mno hutatamani Iendeleee kutumika especially processor ikianza kupata heat....😁
Kila la heri
 
Mimi nimefanikiwa pia PC yangu ni duo core 2.8 RAM 3GB,
Nimechukua faili la 'Wim.install' kwenye sources za window 11 nikalihamishia kwenye Wim. Install ya window 10 nikapiga bootable window ikakaa.
Mpaka sasa nasema pc imekuwa nyepesi sana kutumia.
hago mambo ya TPDM sijui secure boot sijakutana nayo nimebypass moja kwa moja
 
Nahitaji huu utaalam. Maana mimi TPM naambiwa haina.
 
Mimi nimefanikiwa pia PC yangu ni duo core 2.8 RAM 3GB,
Nimechukua faili la 'Wim.install' kwenye sources za window 11 nikalihamishia kwenye Wim. Install ya window 10 nikapiga bootable window ikakaa.
Mpaka sasa nasema pc imekuwa nyepesi sana kutumia.
hago mambo ya TPDM sijui secure boot sijakutana nayo nimebypass moja kwa moja
Mkuu nataka namie ni install windows 11 vipi uko wapi nije tufanye makarateka?
 
AD23B4B9-9026-4610-9D41-9DF9E8538BDA.jpeg
Msaada nipate copy ya windows wazee na office 16
 
Tafadhali naomba nielekeze pia, vyote hivyo ninavyo. Win10 na Win11 zote nnazo
Nenda kwenye setup ya window 11 nenda "sources" ndani ya sources kuna faili limeandikwa "wim. Install" lina GB kama nne hivi copy hilo faili ... Chukua flash yako fuata hatua za kupiga bootable ya window 10 ukimaliza kupiga bootable ya window ten fungua nenda ndani ya files za window 10 fungua "sources" paste faili ulilotoa kwenye window 11.. Kwa sababj humo kwenye window 10 resources kuna faili pia la "wim.Install" wewe replace litapaste ikimaliza piga window kama kawaida kama unavyofanya kwa window usiwe na wasiwasi kinachoinstall hapo ni window 11 sio 10 hakikisha uwe na Mb kwenye simu maana kuna sehemu utahitakika kuunganisha na Internet
 
Asante sana aisee...
Ngoja nitumie akili hii
 
Back
Top Bottom