Hatimaye nimeweza kuinstall windows 11 kwenye pc yangu Unsupported

Hatimaye nimeweza kuinstall windows 11 kwenye pc yangu Unsupported

Nina computer ya dell inakera sana yani! Kilawa wakati inaleta error ya windows not found. pXE error check cable
Jaribu kuipiga window upya.
Mimi huwa computer ikiwa inazingua nainstall window kama program ya kawaida. Kama tu pc itakuwa on
 
Nshainstall Ila inafel baada ya mda
Niliwahi kuww na PC ilikuww na shida hiyo nikaona isiwe tabu ngoja ntafte mnyonge nmuuzie.
PC nilionayo sasa mwaka wa 3 sijaipiga window na hainaga antivirus
 
Hapo vipi
20220318_181658.jpg
 
Back
Top Bottom