Hatimaye nimeweza kuinstall windows 11 kwenye pc yangu Unsupported

hi
Nenda kwenye setup ya window 11 nenda "sources" ndani ya sources kuna faili limeandikwa "wim. Install" lina GB kama nne hivi copy hilo faili ... Chukua flash yako fuata hatua za kupiga bootable ya window 10 ukimaliza kupiga bootable ya window ten fungua nenda ndani ya files za window 10 fungua "sources" paste faili ulilotoa kwenye window 11.. Kwa sababj humo kwenye window 10 resources kuna faili pia la "wim.Install" wewe replace litapaste ikimaliza piga window kama kawaida kama unavyofanya kwa window usiwe na wasiwasi kinachoinstall hapo ni window 11 sio 10 hakikisha uwe na Mb kwenye simu maana kuna sehemu utahitakika kuunganisha na Internet
i njia ni ngumu
 
hi

i njia ni ngumu
Mie ndio naijaribu. Nadhani sio ngumu kama unavyofikiri
Screenshot%20(2).jpg
 
hi

i njia ni ngumu
Zipo njia nyingi ila kwa watumiaji wa pc za zamani zisizokuwa na secure boot hio ndio njia simple ni copy and paste "wim. Install' file between windows ushamaliza kazi .. Njia nyingine ni ya kuedit registry setting lakini ina maelezo mengi halafu windows inachukua muda mrefu kuingia .. Hiyo ya copy and paste nilitumia nusu saa tu window tyr Otherwise weka yako mkuu ulotumia
 
Natamani niijue hii pia ya kuedit Registry
 
Asante kwa maelekezo. Njia hii nimeitumia, nimefanikiwa.
Nenda kwenye setup ya window 11 nenda "sources" ndani ya sources kuna faili limeandikwa "wim. Install" lina GB kama nne hivi copy hilo faili ... Chukua flash yako fuata hatua za kupiga bootable ya window 10 ukimaliza kupiga bootable ya window ten fungua nenda ndani ya files za window 10 fungua "sources" paste faili ulilotoa kwenye window 11.. Kwa sababj humo kwenye window 10 resources kuna faili pia la "wim.Install" wewe replace litapaste ikimaliza piga window kama kawaida kama unavyofanya kwa window usiwe na wasiwasi kinachoinstall hapo ni window 11 sio 10 hakikisha uwe na Mb kwenye simu maana kuna sehemu utahitakika kuunganisha na Internet
Sasa hivi PC yangu Ina Windows 11
Screenshot%20(4).jpg
 
Back
Top Bottom