Hatimaye nimeweza kuinstall windows 11 kwenye pc yangu Unsupported

hi
i njia ni ngumu
 
hi

i njia ni ngumu
Zipo njia nyingi ila kwa watumiaji wa pc za zamani zisizokuwa na secure boot hio ndio njia simple ni copy and paste "wim. Install' file between windows ushamaliza kazi .. Njia nyingine ni ya kuedit registry setting lakini ina maelezo mengi halafu windows inachukua muda mrefu kuingia .. Hiyo ya copy and paste nilitumia nusu saa tu window tyr Otherwise weka yako mkuu ulotumia
 
Natamani niijue hii pia ya kuedit Registry
 
Asante kwa maelekezo. Njia hii nimeitumia, nimefanikiwa. Sasa hivi PC yangu Ina Windows 11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…