Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku hakuna story za propaganda za West?Mambo yana wenyewe haya,Wale Mashabiki wa Simba na Yanga msisogee Huku.
Mbingu zipo nje ya ulimwengu, yaan universe, universe ni jumla ya galaxy zote, nadhani pia unajua maana ya galaxy.Sasa mbinguni ni wapi jamani
Maelezo yamejitosheleza mkuu...mimi pia nlkua nahitaji ufafanuzi maana mwanzo sikuelewa kuhusu hyo miaka..ubarikiwe sanaMkuu ipo hivi, ili ww uweze kuona ni lazima mwanga wa kitu unachokusudia kukiona ukufikie na kutua kwenye retina ya jicho lako. Kwahio kitu kikiwa karibu, macho yako yatakiona ndani ya muda mfupi zaidi.
Na speed ya mwanga ni 3x10^8
Hii ni speed kubwa sana, mpka sasa hakuna kitu kingine chenye speed kubwa kushinda mwanga (light)
Sasa ukiambiwa galaxy ipo 4.5 billion light years, maana yake ile mwanga tunaouona hapa kuwakilisha hio galaxy mwanga huo ulitoka kwenye galaxy hio miaka billion 4.5 iliyopita. Kwahio ukitaka kujua umbali chukua miaka hio zidisha kwa speed ya mwanga, ambayo ni 3x10 ^8 huo ndio utakua umbali kwa mita au klm.
Asante. [emoji120]
Hata kuexport mitumba tu tumeshindwa, wale wa jalalani ndiyo haooo!! Wanalialia majukwaani.Nimesoma mwanzo mwisho, very very interesting. Hii dunia kuna watu wanafanya kazi za maana kwa ajili ya ulimwengu mzima, ninaimagine watanzania na wa afrika kwa ujumla project kama hizi sijui tutufanya lini!
Yawezkana pia mbingu ikawa ipo katika moja wapo ya galaxies zainazo exist.Mbingu zipo nje ya ulimwengu, yaan universe, universe ni jumla ya galaxy zote, nadhani pia unajua maana ya galaxy.
Ili uzikute hizo mbingu basi itakubidi ubadiri maumbile ya mwili wako na kuwa na maumbile yenye uzito mdogo na kasi kubwa zaid ya mwanga ili kukuruhusu kisafiri umbali mrefu kwa muda mfupi.
Namaanisha kwa kila sekunde 1 ktk ulimwengu huu(universe) bas ktk mbingu(ulimwengu usioonekana) sekunde hizo zinaweza kuwa sawa na mwaka mzima, namaanisha, ktk sekunde moja ukiwa nje ya ulimwengu huu, basi utaweza fanya mambo mengi bila limitation yoyote ya muda, tofaut na huku ulimwengu huu tunaoishi.
Ndiomaana utashangaa kuna hawa walozi huweza kwenda umbali mrefu within a short time, pia wale watabiri na wahuni wengine
Wanasayansi hutafta jinsi ya kutravel in time, lkn kiuhalisia haiwezekan mpka pale tutakapounda chombo chenye uzito&speed sawa na mwanga ndipo kitaweza kuvuka mipaka ya muda.
😀😀😀😀Kuna siku Mungu baaa!! gafla wanadamu hawa hapa wamefika kwenye makazi yake , kuwachunguza wapo hai wala hawajafa😀😀😀
Kwanini hizi tafiti hazifanywi na Waraabu au nchi za Asia kama Russis na China? Ni wao Marekani tu?
Rud kwanza darasani walimu wako wa Geography wakakufundishe Russia inapatkan bara GaniKwanini hizi tafiti hazifanywi na Waraabu au nchi za Asia kama Russis na China? Ni wao Marekani tu?
Kwanini hizi tafiti hazifanywi na Waraabu au nchi za Asia kama Russis na China? Ni wao Marekani tu?
"Katika picha hii unaweza kuona maelfu ya galaxy yakiwa umbali wa 4.5 billion light years away. Yaani tunaona leo hizo galaxy jinsi zilivyokuwa miaka billion 4.5 iliyopita."
Ukakasi uko wapi mkuu
Mkuu hayo maelezo hapo yana kiuchachu fulani hivi.