Hatimaye picha kutoka James Web telescope zimetolewa rasmi kwa umma

Sasa mbinguni ni wapi jamani
Mbingu zipo nje ya ulimwengu, yaan universe, universe ni jumla ya galaxy zote, nadhani pia unajua maana ya galaxy.

Ili uzikute hizo mbingu basi itakubidi ubadiri maumbile ya mwili wako na kuwa na maumbile yenye uzito mdogo na kasi kubwa zaid ya mwanga ili kukuruhusu kisafiri umbali mrefu kwa muda mfupi.

Namaanisha kwa kila sekunde 1 ktk ulimwengu huu(universe) bas ktk mbingu(ulimwengu usioonekana) sekunde hizo zinaweza kuwa sawa na mwaka mzima, namaanisha, ktk sekunde moja ukiwa nje ya ulimwengu huu, basi utaweza fanya mambo mengi bila limitation yoyote ya muda, tofaut na huku ulimwengu huu tunaoishi.

Ndiomaana utashangaa kuna hawa walozi huweza kwenda umbali mrefu within a short time, pia wale watabiri na wahuni wengine

Wanasayansi hutafta jinsi ya kutravel in time, lkn kiuhalisia haiwezekan mpka pale tutakapounda chombo chenye uzito&speed sawa na mwanga ndipo kitaweza kuvuka mipaka ya muda.
 
Maelezo yamejitosheleza mkuu...mimi pia nlkua nahitaji ufafanuzi maana mwanzo sikuelewa kuhusu hyo miaka..ubarikiwe sana
 
Nimesoma mwanzo mwisho, very very interesting. Hii dunia kuna watu wanafanya kazi za maana kwa ajili ya ulimwengu mzima, ninaimagine watanzania na wa afrika kwa ujumla project kama hizi sijui tutufanya lini!
Hata kuexport mitumba tu tumeshindwa, wale wa jalalani ndiyo haooo!! Wanalialia majukwaani.
 
Yawezkana pia mbingu ikawa ipo katika moja wapo ya galaxies zainazo exist.

Japo concept yako ya limitations ya physical body ina make sense kiasi.
 
Kwanini hizi tafiti hazifanywi na Waraabu au nchi za Asia kama Russis na China? Ni wao Marekani tu?
 
Kuna siku Mungu baaa!! gafla wanadamu hawa hapa wamefika kwenye makazi yake , kuwachunguza wapo hai wala hawajafaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
"Katika picha hii unaweza kuona maelfu ya galaxy yakiwa umbali wa 4.5 billion light years away. Yaani tunaona leo hizo galaxy jinsi zilivyokuwa miaka billion 4.5 iliyopita."

Ukakasi uko wapi mkuu


Mkuu hayo maelezo hapo yana kiuchachu fulani hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…