Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amkumbuka Ridhiwani Kikwete baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu

Na bado kuna unaibu utamuhusu kwa hisani ya mzee wa Msoga.
 

 
Kwani hana sifa?

Sio mbunge -HAPANA

Hana elimu -HAPANA

Sio Matanzania -HAPANA

Kwanini asipewe huo uwaziri? |Tena wamemchelewesha sana,


#KAZI IENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI

Na bado kuna unaibu utamuhusu kwa hisani ya mzee wa Msog
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…