Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
Yametimia,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Samia Suluhu Hassan hatimaye amkumbuka Ridhiwani Kikwete, hii ikiwa ni baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu | Viva Tanzania Viva
" Hakuna kama Samia "
Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza ahadi yake kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya Shilingi Milioni 480 ikiwemo mashine ya Kupiga picha za Mionzi yaani X-Ray, Jokofu la kuhifadhia maiti, mashine za kupimia damu na vifaa mbalimbali.
Mhe Ridhiwani Kikwete mbunge wa Jimbo la Chalinze ameishukuru serikali na Rais kwa kutekeleza ahadi hii ndani ya muda wa wiki tatu toka kutolewa kwa ahadi hiyo,
Wananchi wa Kata hiyo wakiongozwa na wakina mama ambao walikuwa wakipokea vifaa hivyo wameshangilia huku wazee wakimuombea Mungu amlinde Rais wa Nchi yetu mama Samia Suluhu Hassan,
Ridhiwani Kikwete ni miongoni mwavijana very humble down the earth mwenye bashasha na furaha kwa Watanzaia wote wakati wote iwe anakujua au hakujui hakika ni mtu mzuri sana|Hongera wanachalinze,
Je? Tutarajie siku moja kijana huyu kukamilisha msemo wa kiingereza unaosema " Like father like Son "?
#Kazi iendelee
View attachment 1959269
View attachment 1959270
View attachment 1959273
View attachment 1959274
Yametimia nnYametimia,
Nchi si mmefanya ya kwenu mnagawana tu madaraia,haya mambo yana mwisho wakeRais Samia Suluhu Hassan hatimaye amkumbuka Ridhiwani Kikwete, hii ikiwa ni baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu | Viva Tanzania Viva
" Hakuna kama Samia "
Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza ahadi yake kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya Shilingi Milioni 480 ikiwemo mashine ya Kupiga picha za Mionzi yaani X-Ray, Jokofu la kuhifadhia maiti, mashine za kupimia damu na vifaa mbalimbali.
Mhe Ridhiwani Kikwete mbunge wa Jimbo la Chalinze ameishukuru serikali na Rais kwa kutekeleza ahadi hii ndani ya muda wa wiki tatu toka kutolewa kwa ahadi hiyo,
Wananchi wa Kata hiyo wakiongozwa na wakina mama ambao walikuwa wakipokea vifaa hivyo wameshangilia huku wazee wakimuombea Mungu amlinde Rais wa Nchi yetu mama Samia Suluhu Hassan,
Ridhiwani Kikwete ni miongoni mwavijana very humble down the earth mwenye bashasha na furaha kwa Watanzaia wote wakati wote iwe anakujua au hakujui hakika ni mtu mzuri sana|Hongera wanachalinze,
Je? Tutarajie siku moja kijana huyu kukamilisha msemo wa kiingereza unaosema " Like father like Son "?
#Kazi iendelee
View attachment 1959269
View attachment 1959270
View attachment 1959273
View attachment 1959274
Unaweza kutaja machache?!Ana maovu mengi sn hivyo anajificha kwenye kusifia maisha yaende
MpigieUnaweza kutaja machache?!
Ridhiwani unakumbuka hii?Rais Samia Suluhu Hassan hatimaye amkumbuka Ridhiwani Kikwete, hii ikiwa ni baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu | Viva Tanzania Viva