Hatimaye Rais wa FIFA akiri, ataja sababu ya Argentina kushinda kombe la Dunia

Messi ndie mchezaji bora zaidi ulimwenguni kuwahi kutokea, tusipingane na hili.

Ndani ya Nou Camp Madrid ilokuwa na mastaa kibao iliicharaza Barca bao 3. Messi akaingia akitokea sub, kipindi hiko ana miaka 19.

Messi anaweka Hat Trick na kuinusuru Barca, humo ndani madrid kulikuwa na Zidane, Ramos, Carlos, De Lima, Raul na mastaa wengi sana.

Toka wakati huo, Barca ikavunja uteja wa Madrid. Toka Messi apewe nafasi Barca, 80% ya kombe la Ligi limetua Barca.

Alibadili kila kitu pale Spain.
Acha uongo mzee baba messi anaingia kikosi cha kwanza tayari timu ilikua nzuri na inafanya vizuri kabisa kumbuka aliwakuta dinho, etoo, deco wapo kwenye form.. mchezaji ambae alikuja kufanya transformation ya barca ni dinho kipindi jamaa anafika barca ilikua na jina kubwa lakini bado inajitafuta yaani kama man u pale uingereza sasa hivi.. dinho aliibeba timu ikaja kuwa tishio ulaya messi alikuja kuwa star wa barca tayari timu ikiwa ni nzuri sana
 
Ishu sio kupewa penati ishu ni izo penati unapewa katika namna ipi? Penati za ufaransa zote zilikua halali ila ile ya argentina ukiangalia vizuri replay utaona di maria hakuguswa
IMG_20221219_125532.jpg
 
Achaneni na Messi jamani, tena mkae kimya kabisa.

Licha ya kuundoa ufalme wa Madrid pale Spain ambao Gaucho, Romario, Rivaldo walishindwa, Messi aliweza.

Messi akavunja utawala wa Brazil kule America. Tafuta head to head za Brazil na Argentina, kaone huko balaa la Messi. Za Madrid na Barca achana nazo maana utalia.

Messi ndio mfungaji bora wa muda wote Argentina, Barca, La Liga kwa Ujumla, UEFA sijui alifikiaga wapi ila kuna muda aliweka rekod.

Messi kachafua saaana timu za England, kumbuka Messi alimfanya Sir Alex atetemeke pale Wembley.
Hakuna aliekataa ilo isipokua mjadala unaelekezwa zaidi kwenye world cup 2022.. kama messi kavunja rekodi zote izo haina maana pale hata pale anapopeta kwa mbeleko basi ihalalishwe tukiacha unazi penati alizokua anapewa argentina tangu group stage almost zote hazikua halali.. mapenzi yetu binafsi yasitupozibe macho kiasi kwamba tukashindwa kuona ukweli
 
View attachment 2451867
Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia"

Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda

View attachment 2451868
Hata mimi niliwaambia rafiki zangu...

"Ningependa Messi na Agentina watwae ubingwa iwe heshima kwa Messi na wapenda soka duniani"

Haya sema sasa kuwa na mi niliihujumu world cup
 
Na hy sio Messi wa miaka ya nyuma, kwel Messi umr umeenda, apumzike sasa.

Messi alikuwa anamchukua Alonso, Khedira, Pepe, Ozil wote wanafunga tela nyuma anatembea nao na mpira hawauchukui.

Messi anamkusanya Gigs, scholes, Fletcher, Park Ji Sung anatembea nao na anaenda kuweka mpira wavun.

Hk ktu huwez kuta Mbappe akikifanya wala Gaucho. When it comes to futbol, Messi mtu nyie.

Back to 2010 kama sio 2009 Camp Nou, Barca na Inter Milan ya Mourinho, Barca inatolewa na Inter Milan. Inter ilokuwa inasifika kuwa na viungo bora na mabeki wakatili ilichezewa saana na Messi.

Messi alikuwa anamchukua Cambiasso, Javier Zaneti, kusanya akina Lucia, Chivu sijui mbwa gani waleee, wooote anawatia kwapani anawaburuza.

Inter Milan timu yooote watu 11 walibeba kad za njano, mpaka Etoo alirudi kukaba akabeba kad ya njano, maji yalipozidi akapigwa mtu red.
Acha kudanganya watu, hivi unamjua Mtume na nabii wa mwisho wa mpira (Gaucho)?, unapozungumzia ufundi usimfananishe Gaucho ni wengine, nasema mkome kumfanisha Gaucho na hao wengine.
Yuko mmoja tu na itabaki hivyo, Messi hajafikia hata nusu ya ufundi wa Okocha sembuse Gaucho?, anachowazidi hao ni kufunga magoli sio ufundi mwingine.
Ukibisha basi huenda haukumuona Gaucho akiwa kwenye peak yake, sema tabia zake za anasa zilimtoa relini mapema.

Period.
 
Unaongea mambo kwa ushabiki sana unaleta maelezo ambayo hata hayausiani hakuna aliekataa messi ni fundi binafsi nakubali ni moja kati ya wachezaji bora niliwashuhudia wakicheza lakini mjadala husika unaangazia world cup 2022
 
Acha uongo mzee baba messi anaingia kikosi cha kwanza tayari timu ilikua nzuri na inafanya vizuri kabisa kumbuka aliwakuta dinho, etoo, deco wapo kwenye form.. mchezaji ambae alikuja kufanya transformation ya barca ni dinho kipindi jamaa anafika barca ilikua na jina kubwa lakini bado inajitafuta yaani kama man u pale uingereza sasa hivi.. dinho aliibeba timu ikaja kuwa tishio ulaya messi alikuja kuwa star wa barca tayari timu ikiwa ni nzuri sana
JamiiForums59726792.jpg
 
Hakuna aliekataa ilo isipokua mjadala unaelekezwa zaidi kwenye world cup 2022.. kama messi kavunja rekodi zote izo haina maana pale hata pale anapopeta kwa mbeleko basi ihalalishwe tukiacha unazi penati alizokua anapewa argentina tangu group stage almost zote hazikua halali.. mapenzi yetu binafsi yasitupozibe macho kiasi kwamba tukashindwa kuona ukweli
JamiiForums59726792.jpg
 
Acha kudanganya watu, hivi unamjua Mtume na nabii wa mwisho wa mpira (Gaucho)?, unapozungumzia ufundi usimfananishe Gaucho ni wengine, nasema mkome kumfanisha Gaucho na hao wengine.
Yuko mmoja tu na itabaki hivyo, Messi hajafikia hata nusu ya ufundi wa Okocha sembuse Gaucho?, anachowazidi hao ni kufunga magoli sio ufundi mwingine.
Ukibisha basi huenda haukumuona Gaucho akiwa kwenye peak yake, sema tabia zake za anasa zilimtoa relini mapema.

Period.
Ukiwekewa hapa Messi akiwa ktk peak yake na Gaucho akiwa ktk peak yake, utaenda kwa nani?

Vaa viatu uwe kama kocha.
 
Itategemea game plan.
Gaucho hakufunga magoli mengi ndio maana hapewi heshima sitahiki, pia alikuwa na uchafu mwingi nje ya uwanja.
Messi anafunga sana ila kwenye ufundi kwa Gaucho bado sana.
 
Ukiwekewa hapa Messi akiwa ktk peak yake na Gaucho akiwa ktk peak yake, utaenda kwa nani?

Vaa viatu uwe kama kocha.
Gaucho alikua fundi sana mzee baba labda kama hujamwona akicheza au umemkuta ndo anaishia just imagine jamaa alikua kwenye peak kwa miaka minne tu hivi lakini kumbukumbu alizoziacha azitakuja kufutika hv angedumu kwenye form miaka 10+ kama messi na ronaldo ingekuwaje.. messi na ronaldo sio kwamba wana ufundi mwingi sana kikubwa kinachowabeba hawa wamedumu kwenye form kwa muda mrefu sana alafu walikua kwenye kizazi ambacho hakuna ushindani zaidi yao vile vile soka lilikua lishamezwa na biashara na siasa mfano zile ballon dor 4 mfululizo za messi zilikua za mchongo
 
Acha kudanganya watu, hivi unamjua Mtume na nabii wa mwisho wa mpira (Gaucho)?, unapozungumzia ufundi usimfananishe Gaucho ni wengine, nasema mkome kumfanisha Gaucho na hao wengine.
Yuko mmoja tu na itabaki hivyo, Messi hajafikia hata nusu ya ufundi wa Okocha sembuse Gaucho?, anachowazidi hao ni kufunga magoli sio ufundi mwingine.
Ukibisha basi huenda haukumuona Gaucho akiwa kwenye peak yake, sema tabia zake za anasa zilimtoa relini mapema.

Period.
Wapumbavu gani hao wanamlinganisha Ronaldinho kwa udambwi dambwi wa soka biriani [emoji848]

Inabidi wafunguliwe mashtaka haraka sana [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Na hy sio Messi wa miaka ya nyuma, kwel Messi umr umeenda, apumzike sasa.

Messi alikuwa anamchukua Alonso, Khedira, Pepe, Ozil wote wanafunga tela nyuma anatembea nao na mpira hawauchukui.

Messi anamkusanya Gigs, scholes, Fletcher, Park Ji Sung anatembea nao na anaenda kuweka mpira wavun.

Hk ktu huwez kuta Mbappe akikifanya wala Gaucho. When it comes to futbol, Messi mtu nyie.

Back to 2010 kama sio 2009 Camp Nou, Barca na Inter Milan ya Mourinho, Barca inatolewa na Inter Milan. Inter ilokuwa inasifika kuwa na viungo bora na mabeki wakatili ilichezewa saana na Messi.

Messi alikuwa anamchukua Cambiasso, Javier Zaneti, kusanya akina Lucia, Chivu sijui mbwa gani waleee, wooote anawatia kwapani anawaburuza.

Inter Milan timu yooote watu 11 walibeba kad za njano, mpaka Etoo alirudi kukaba akabeba kad ya njano, maji yalipozidi akapigwa mtu red.
Ongezea na ile record yake ya UEFA final 2011..
Hadi Mzee Mzima Ferguson akapata Mtetemo[emoji23]...
 
Ni kawaida ukiwa na juhudi na nidhamu kwenye unachokifanya. Wengi wanakupenda na kukutakia mafanikio zaidi
Ingawa walichokiongea hao jamaa kwa nafasi zao kinaweza kuleta mkanganyiko ikaonekana ilipangwa messi achukue kombe lakini ulichosema nii kweli kabisa mkuu ukiwekeza kwenye juhudi na bahati itakukuta njiani ndicho ambacho kimemtokea messi world cup hii hakuna ambae anafanikiwa kwa mseleleko mfano arsenal iliyochukua taji la ligi bila kufungwa usifikiri kila mechi walikua wanatoboa tu kirahisi rahisi kuna zingine walikua wanapona kwa mbinde sana mfano ile game ya old trafford van nisterloy anakosa penati dakika ya mwisho alafu game inaisha 1-1 yaani pale penati ingeenda kambani rekodi ya unbeaten ilikua inavunjwa ila gunners akawa na bahati tu.. ukiwekeza kwenye juhudi na bahati nayo itakukuta njiani
 
Back
Top Bottom