Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Messi kacheza mpira kipindi ambacho mpira umeadvance mno, maradona mpaka magoli ya mkono amefunga. Huyo pele hata idadi ya mechi alizocheza na magoli havina uwiano.kwa hizi facts utawaua mzee, messi ni alongside maradona na pele... hawa second class players ndo utawakuta wengi wakina ronaldo , mbape lewandosky
Team Ronaldo mtasema sana hadi mchoke hebu eleza zile penalt walizopata ufaransa ndio zilikuwa sahihi sana kuliko walio pata Argentina acheni kubeza juhudi za watu , Argentina walijifunza pale walipofungwa na saudia kama wasingefungwa sizani Kama leo hii tungekuwa tunawazungumzia ili ufanikuwe unatakiwa upitie changamoto nzito sanaNikiwa kama shabiki wa mpira ni wazi kwamba argentina alishaandaliwa kuwa bingwa zile penati alozokua anapata tangu group stage hapana kwa kweli
Hii ishu ya mzee kutetemeka inapotoshwa tu ukweli ni kwamba mzee alikua anatetemeka kwa sababu nyingine bhana uenda ni baridi au umri umesogea sana alafu man u ukiangalia rekodi huwa anasumbuliwa sana na timu za spain sio barca tu peke akeNi kweli mkuu alikuwa valencia na sio kagawa, na sio fletcher ila alikuwa carrick, umri unasonga mbele, kwahiyo kuna mda napoteza kumbukumbu, pia Barca amemuonea saana man u miaka ya karibuni, sio rahisi kukumbuka kila kitu.
Mbali na Fergon kutetemeka, hii si game ambayo chicharito alikuwa anatokwa na machozi?
Achana na 2022, ile fainal ya World Cup alopoteza Argentina na Messi akiwemo, je alifika final kwa kubebwa? Mashabiki wa Ronaldo ni kama wehu fulani hivi, hawapendi kukubali ukweli, wapo kama jamaa yao alivyo.Team Ronaldo mtasema sana hadi mchoke hebu eleza zile penalt walizopata ufaransa ndio zilikuwa sahihi sana kuliko walio pata Argentina acheni kubeza juhudi za watu , Argentina walijifunza pale walipofungwa na saudia kama wasingefungwa sizani Kama leo hii tungekuwa tunawazungumzia ili ufanikuwe unatakiwa upitie changamoto nzito sana
Kurudi barca ni ngumu maana kwanza barca anahitaji ku-balance vitabu vyake vya mapato na matumizi pili barca ilishaamua kuachana nae kuanza kutenegeneza kizazi kingine isingewezekana kuwa na messi milele soon or later ilikua lazima aondoke tu nafikiri soka la ulaya messi atamalizia psgUpo sahihi, jamaa alipaswa kwenda Madrid au hata Bayern na sio kule France. Kwa kombe hilo alobeba Messi, Barca wangekuwa vyema, Messi angerudi ili amalizie soka lake la ulaya Barca.
Afu huyu Martinez ni muhuni wa kiwango cha kina suarez na bobby
Pele ndo wa zamani ila maradona sio wa zamani sana na jamaa alikua wa moto mzee mwenzangu anapiga anapiga chenga timu pinzani nzima ni uhuni na unga tu ndo vilimmaliza kuhusu goli la mkono hata messi alishawahi kufungaMessi kacheza mpira kipindi ambacho mpira umeadvance mno, maradona mpaka magoli ya mkono amefunga. Huyo pele hata idadi ya mechi alizocheza na magoli havina uwiano.
Wamecheza mpira kipindi ambacho mpira ni kama sehemu ya burudani, soka halikuwa na pesa kama sasa kwamba mtu anaingia uwanjani kikazi zaidi.
Mazingira alocheza soka Messi ni magumu kulinganisha na hao wengine. Messi ni bora zaidi, hakuna kama Messi.
Ukitaka kumjua Messi ni nani waulize Arsenal. Kawapiga km ngoma kwenye UEFA hadi basi. Kuna mechi aliwapiga 4 peke yake hadi mtangazaji akawa anasema Arsenal 1 Messi 4. Huyu kiumbe muache kabisa.View attachment 2451867
Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia"
Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda
View attachment 2451868
Unaweza kutoa hoja yako ukaeleweka bila kumuhusisha mtu na upande wowote kitendo cha kuanza kumuhisha mtu na upande mwingine ni kutaka kuhalalisha hoja yako kuonesha uyo unaempinga yupo biased kwa kifupi mimi sio team ronaldo.. tuje kwenye hoja ya msingi penati za ufaransa ni kweli thulam aliangushwa ndani ya boksi ile ya pili ni kweli jamaa wa argentina alishika ila penati ya argentina di maria akuguswa nenda kaangalie replay alafu urudi hapa.. juhudi za watu haimaanishi kwamba yatakapotoka maamuzi ambayo sio halali basi yafumbiwe macho maana hata ufaransa kufika fainali walifanya juhudi vile vileTeam Ronaldo mtasema sana hadi mchoke hebu eleza zile penalt walizopata ufaransa ndio zilikuwa sahihi sana kuliko walio pata Argentina acheni kubeza juhudi za watu , Argentina walijifunza pale walipofungwa na saudia kama wasingefungwa sizani Kama leo hii tungekuwa tunawazungumzia ili ufanikuwe unatakiwa upitie changamoto nzito sana
Mashabiki wa messi hoja zenu ziangazieni kwenye mada husika acheni kulazimisha ionekane wanaowapinga kimawazo basi hao ni mashabiki wa ronaldo.Achana na 2022, ile fainal ya World Cup alopoteza Argentina na Messi akiwemo, je alifika final kwa kubebwa? Mashabiki wa Ronaldo ni kama wehu fulani hivi, hawapendi kukubali ukweli, wapo kama jamaa yao alivyo.
Dunia yoooote kwa sasa unapomringanisha Messi na Ronaldo wanakuona wewe ni mwendawazimu, Messi halinganishwi.
Nakubaliana na wewe kabisa, juhudi za mtu zimemfanya afike pale.
Mimi ni shabiki mkubwa wa Ufaransa ila hili kombe Argentina wamestahiri kwakua penalty Ufaransa ndio kakosa ,,,ila kinachoniuma Mimi ni kwanini Mbappe asingekua mchezaji bora ,,kwamaana ya vigezo vina mbeba ,,kafunga goli 8 penalty 2 na assist 2 tena Fainal kapiga hat trick,,View attachment 2451867
Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia"
Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda
View attachment 2451868
Vipaji vingi amerika hasa vile vikubwa vinawahi kufa kutokana na anasa.Pele ndo wa zamani ila maradona sio wa zamani sana na jamaa alikua wa moto mzee mwenzangu anapiga anapiga chenga timu pinzani nzima ni uhuni na unga tu ndo vilimmaliza kuhusu goli la mkono hata messi alishawahi kufunga
Kabla hata world cup haijaanza ni wazi messi alikua juu ya ronaldo kwa kila kitu ni mtu asiejua mpira tu ndo angeweza kusema ronaldo ni zaidi ya messiArgentina kabebwa au hakubebwa. 95% ya wapenda soka dunia kote walitamani kuona messi akinyanyua kombe la dunia.
Kati ya watu walioumia kwa messi kupata kombe la dunia ni cr7. Sababu ni kwamba ile batlle ya nani mkali imefungwa jana usiku kwa king Messi kunyanyua juu kombe la dunia.
Aleyn umefukua makaburi mengi kuwaonyesha hawa mashabiki wa cr7 kwamba messi ni level nyingine. Na hili limedhihirishwa jana.
Kwani uongo ninyi sio team ronaldo?Mashabiki wa messi hoja zenu ziangazieni kwenye mada husika acheni kulazimisha ionekane wanaowapinga kimawazo basi hao ni mashabiki wa ronaldo.
Samatta nae aende PSG, kombe la dunia tamu bna
Mchezaji bora wa michuano na man of the match wa fainali alitakiwa kuwa mbappeMimi ni shabiki mkubwa wa Ufaransa ila hili kombe Argentina wamestahiri kwakua penalty Ufaransa ndio kakosa ,,,ila kinachoniuma Mimi ni kwanini Mbappe asingekua mchezaji bora ,,kwamaana ya vigezo vina mbeba ,,kafunga goli 8 penalty 2 na assist 2 tena Fainal kapiga hat trick,,
Ni zaidi ya miaka 50 haijatokea mchezaji anafunga hat trick kwenye fainali
Ntakukumbusha kidogo mwaka 2002 Brazil anamfunga Germany na mchezaji bora anakua Oliver khani..
Mwaka 2006 Italy anamfunga France na mchezaji bora anakua Zidanne..
Mwaka 2014 Germany anamfunga Argentina na mchezaji bora anakua Messi
Mwaka 2018 France anamfunga Croatia na mchezaji bora anakua Luka modric...
Hoja yangu ni nini hapo utagundua kua hizi tuzo za mchezaji bora ni kuwapooza machungu walio fungwa fainali ,,kama mwaka 2006 Zidane napewa tuzo ilihali Francesco Tott ndie alicheza sana kuliko Zidanne,,
Mwaka 2010 anapewa Iniesta wakati aliyestahili ni Welsey Snider
Mwaka 2014 anapewa Messi ilihali Sebastian swanszitiger ndie aliyestahili
Mwaka 2018 anapewa Modric wakati nyuma yake alikua Greezman
Leo anpewa Messi kwa kigezo kipi mbele ya Mbappe na vigezo vya Mbappe ni vya juu kulingana na Messi,,all in all Apongezwe bingwa ...
Amepewa Messi sababu ndie mchezaji bora wa soka kuwahi kutokea.Mimi ni shabiki mkubwa wa Ufaransa ila hili kombe Argentina wamestahiri kwakua penalty Ufaransa ndio kakosa ,,,ila kinachoniuma Mimi ni kwanini Mbappe asingekua mchezaji bora ,,kwamaana ya vigezo vina mbeba ,,kafunga goli 8 penalty 2 na assist 2 tena Fainal kapiga hat trick,,
Ni zaidi ya miaka 50 haijatokea mchezaji anafunga hat trick kwenye fainali
Ntakukumbusha kidogo mwaka 2002 Brazil anamfunga Germany na mchezaji bora anakua Oliver khani..
Mwaka 2006 Italy anamfunga France na mchezaji bora anakua Zidanne..
Mwaka 2014 Germany anamfunga Argentina na mchezaji bora anakua Messi
Mwaka 2018 France anamfunga Croatia na mchezaji bora anakua Luka modric...
Hoja yangu ni nini hapo utagundua kua hizi tuzo za mchezaji bora ni kuwapooza machungu walio fungwa fainali ,,kama mwaka 2006 Zidane napewa tuzo ilihali Francesco Tott ndie alicheza sana kuliko Zidanne,,
Mwaka 2010 anapewa Iniesta wakati aliyestahili ni Welsey Snider
Mwaka 2014 anapewa Messi ilihali Sebastian swanszitiger ndie aliyestahili
Mwaka 2018 anapewa Modric wakati nyuma yake alikua Greezman
Leo anpewa Messi kwa kigezo kipi mbele ya Mbappe na vigezo vya Mbappe ni vya juu kulingana na Messi,,all in all Apongezwe bingwa ...