AzizyKhammis Member Joined Oct 11, 2022 Posts 50 Reaction score 40 Dec 22, 2022 #141 Ni sawa mtoa mada huo ndo mtazamo wako lakin swali la kujiuliza kwa nin FIFA iweke mipango hyo kwa messi peke ake naomba jibu lako ili tuendeleze mjadala
Ni sawa mtoa mada huo ndo mtazamo wako lakin swali la kujiuliza kwa nin FIFA iweke mipango hyo kwa messi peke ake naomba jibu lako ili tuendeleze mjadala