Hatimaye Rich Mavoko ndani ya WCB

Hii habari alishaitoa kitambo ndugi yetu Raj a.k.a harmonize.
Leo ndio tukio limekamilishwa. Hii ni kama habari za ndoa za siku hizi,anakutoa bikra mwengine na anayekuoa ni mwengine kabisa.
Hongera Mavoko.
YNWA


YNWA....Kop
 

atamsainisha hadi officialalikiba
 
Kwa pale alipofikia Rick Mavocal hakika hakustahili kujiunga WCB, bali kuanzisha Lebo yake. Tatizo letu watanzania wengi ni wazito kujiongeza hasa pale mambo yanapotuendea kombo kama Mavocal. Binafsi naamini anayo nafasi ya kujirekebisha na kurudi kuwa msanii mkubwa, lakini kama shabiki wake mmmmmmh! disappointed sana.
 
Naomba kujua kwanini wanalamba midomo wakati wakuongea!? nshamuona pia na Raymond.
 
Itabidi na Kiba akasainishwe wasafu tu mkuu maana hamna namna sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…