Hatimaye Rich Mavoko ndani ya WCB

Hatimaye Rich Mavoko ndani ya WCB

Wimbo mkali sana, hii ni shida kubwa sana town...
 
Ngoja tuone game linakwendaje, japokuwa Mavoko alishafika mbali sana, angeweza kusimama kivyake pia.
 
Ngoja tuone game linakwendaje, japokuwa Mavoko alishafika mbali sana, angeweza kusimama kivyake pia.
Mkataba wake ni tofauti na wa Harmo na Ray kwa vile yeye atafuti kutoka, na vile vile unatakiwa ukumbuke ukipata mia inatakiwa utafute namna ya kupata mia mbili.
 
Back
Top Bottom