Hatimaye Samia amejipata baada ya kujitafuta kwa muda mrefu

That says alot hata wateule wake wengi ni wasanii wenzake.

Niki wa pili, mwana fa, yule jamaa wa kaole etc etc.
Nani Chopa Mchopanga au Dimera (Simalenga) !?
 
Pumbavuh huna hata akili.... Wewe umeona kuna sehemu nimesema kuna tatozo? Kilaza wewe.... Mstari unao mgongoni mwako.
Mapovu ya nini? Wewe leta fyoto kuanzia mwakani Kuna uchaguzi Hadi 2025 harafu Utajua amejipata kwenye movie au kwingine
 
Hilo lipo wazi mkuu siyo la kujadili
 
Ndio umeshachanganyikiwa hivyoo katibiwe shehe! Rudia kusoma ulichoandika
 
Mapovu ya nini? Wewe leta fyoto kuanzia mwakani Kuna uchaguzi Hadi 2025 harafu Utajua amejipata kwenye movie au kwingine
Fyoto❌
Harafu❌
Hata kuandika hujui ndo maana unatokw ana udenda kiasi hicho.... Tuendelee na kumsupport samia. Hasa kwenye uigizaji inaonekana huko anaweza kuwa vizuri.
 
Fyoto❌
Harafu❌
Hata kuandika hujui ndo maana unatokw ana udenda kiasi hicho.... Tuendelee na kumsupport samia. Hasa kwenye uigizaji inaonekana huko anaweza kuwa vizuri.
Wewe leta fyoto ndio Utajua anaweza kuigiza au kuongoza.
 
Nimekupata mkuu nikiwa mitaa ya Nyamasanje baada ya kutoka Chitare nilikoenda kuchaji kiswaswadu changu bila mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…