Hatimaye Samia amejipata baada ya kujitafuta kwa muda mrefu

Kuna huyu sijui ni kijana au mzee wa kuitwa Lucas mwashambwa huyu asione huu uzi aje aporomoshe sifa, kila kitu kinachofanywa na huyo mama yake muigizaji yeye hukiona bora, kukisifia na kukipamba.
 
Mbo
Leta fyoto Utajua amejipata kwenye uigizaji au vinginevyo.

Hapa unafurahia kuropoka Kwa sababu aliwapa fursa mropoke ila usivuke mstari.

Mwisho kuigiza ni kazi pia kwani Kuna tatizo?
Mbona kaa una hasira mkuu,shida Nini😂.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…