Hatimaye serikali kuajiri walimu 34000 Mwezi huu April 2015

Tatizo humu kila mtu anaongea lake kwanini kama hauelewi ujifanye unajua kuchambua Data sana,wabongn bwana......kha!
 
Nimefanya Estimation Mkuu,, but bear in Mind last season 2500 waliachwa, and seson hii wahitimu wapo more than 40,000 wahitimu wa shahada ni wengi zaidi chunguza then prove me wrong

Katika gazeti la leo la Tanzania Daima, kuhusu fedha za walimu na idadi ya walimu iliyotolewa na serikali. Kaimu katibu Mkuu, ofisi ya raisi-menejimenti ya utumishi wa umma, HAB Mkwizu alisema. Nanukuu ''Ajira zilizoombwa ni 34,000 na hatutapunguza hata nafasi moja kwa hiyo kama wameomba 34,000 basi wanapewa zote kwa sababu taratibu za ajira za walimu ni tofauti hazipiti sekretarieti ya maadili, wanapimwa vyuoni na wakishafaulu hakuna usahili". Sasa kama wamesema watatoa fedha kwa idadi yote ambayo serikali imeomba (34,000) iweje wengine waachwe? Ila sijui huwa wanatumia vigezo gani kuwaacha (kama unavyodai huwa wanaachwa) wakati fedha zote zimetolewa. Ila kama unaachwa halafu unakuja kuajiriwa tena sioni tatizo hapo kwa walimu watarijiwa, though ndugu yangu sikupingi sn coz politics kwa nchi yetu ipo everywhere. Nawasilisha
 

Utakua hujanielewa mkuu,, nina maana kua wahitimu wote wa kada ya ualimu wanao subiri ajira ni zaidi ya 34 elfu!.. Ikumbukwe kua tanzania kwa sasa inao uwezo wa kuzalisha walimu zaidi ya 40 elfu,
 
Utakua hujanielewa mkuu,, nina maana kua wahitimu wote wa kada ya ualimu wanao subiri ajira ni zaidi ya 34 elfu!.. Ikumbukwe kua tanzania kwa sasa inao uwezo wa kuzalisha walimu zaidi ya 40 elfu,

Soma vizuri gazeti
 
Soma vizuri gazeti

tatizo watanzania 2napenda kusikia v2 vitakavyo 2 pleas hata ka ni uongo, dat the fact,, subir mzgo utoke ndo ubishe,,,au argue kwa hoja bac na proof anapokoxea mwnzio upaweke xawa
 
Alafu tusikie mnataka kuama sijui mazingira magumu Mara tubadilishane vituo hole wenu .mlikuwa mnalilia tu kmbe ualimu dili ukiwa nje eeh.
 
Mmmmmm.......WANATAFUTA WATEJA WA KUNUNUA GAZETI KWANI HAIWEZEKANI GAZETI HILO HILO KUTOA HABARI NA HILO HILO KUTOA SULUHISHO HATA GAZETI LA SERIKARI LISIANDKE HABARI HUUU NI USANIII WA KUTAFUTA WASOMAJI

AIDHA BADO HILO GAZETI (TANZANIA DAIMA) LINAMILIKIWA NA MWANASIASA WA UPINZANI AMBAYE ANATAFUTA KURA KWA UCHAGUZ MKUU
 

Hata mie nlikuwa nawaza hivyo, yan TANZANIA DAIMA wameona hii ni kick ya kibiashara zaid, jana hao hao wamisema hawajui leo wameripot hbr tofaut so akili kumkichwa nadhan washapiga ela ndefu kw cku hiz mbili na kama wameona jana mauzo yaneenda vizur leo wamekuja na part 2 na ndo itakuwa kaz yao kucheza na akili za watu
 
walimu asa wamechanganyikiwa kwa njaa. tangazo lishatoka pia watu hawaamini. ati magazeti ya upinzani wanataka kura. sasa hebu nyamazeni subirini majina yatoke. hili jambo liwekwe pending.
 

Ww Craizy. Alaf Unaonyesha Una Wivu Unatunga Maswali Ukiwa Km Nan, Msilogee Jamiiforum, Ambao Hamna Kaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…