Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefanya Estimation Mkuu,, but bear in Mind last season 2500 waliachwa, and seson hii wahitimu wapo more than 40,000 wahitimu wa shahada ni wengi zaidi chunguza then prove me wrong
Hivi wataalam wa maabara na walimu wa science ni tofauti?
Hapa kuna siasa, ajira na taaluma. Full kachumbari
Ni tofaut Mkuu wao wapo specialized na issue za maabara tu!, ingawa pia walimu wa sanyansi wapo equiped na laboratory management skills!,,
Katika gazeti la leo la Tanzania Daima, kuhusu fedha za walimu na idadi ya walimu iliyotolewa na serikali. Kaimu katibu Mkuu, ofisi ya raisi-menejimenti ya utumishi wa umma, HAB Mkwizu alisema. Nanukuu ''Ajira zilizoombwa ni 34,000 na hatutapunguza hata nafasi moja kwa hiyo kama wameomba 34,000 basi wanapewa zote kwa sababu taratibu za ajira za walimu ni tofauti hazipiti sekretarieti ya maadili, wanapimwa vyuoni na wakishafaulu hakuna usahili". Sasa kama wamesema watatoa fedha kwa idadi yote ambayo serikali imeomba (34,000) iweje wengine waachwe? Ila sijui huwa wanatumia vigezo gani kuwaacha (kama unavyodai huwa wanaachwa) wakati fedha zote zimetolewa. Ila kama unaachwa halafu unakuja kuajiriwa tena sioni tatizo hapo kwa walimu watarijiwa, though ndugu yangu sikupingi sn coz politics kwa nchi yetu ipo everywhere. Nawasilisha
Utakua hujanielewa mkuu,, nina maana kua wahitimu wote wa kada ya ualimu wanao subiri ajira ni zaidi ya 34 elfu!.. Ikumbukwe kua tanzania kwa sasa inao uwezo wa kuzalisha walimu zaidi ya 40 elfu,
Soma vizuri gazeti
Mmmmmm.......WANATAFUTA WATEJA WA KUNUNUA GAZETI KWANI HAIWEZEKANI GAZETI HILO HILO KUTOA HABARI NA HILO HILO KUTOA SULUHISHO HATA GAZETI LA SERIKARI LISIANDKE HABARI HUUU NI USANIII WA KUTAFUTA WASOMAJI
AIDHA BADO HILO GAZETI (TANZANIA DAIMA) LINAMILIKIWA NA MWANASIASA WA UPINZANI AMBAYE ANATAFUTA KURA KWA UCHAGUZ MKUU
Kaka ulivyoandika mpaka nimekuonea Huruma . Unaonyesha kabisa ww ni mwalimu uliyekosa ajira .
Hakuna gazeti lililoandika hiivyo leo ,zaidi walichoandika ni mngoje waangalie sehemu uenye mahitaji ndipo hapo wawapange. Sasa Akili kichwani kwako Hayo mahitaji?Jiulize maswali haya
1. Hayo mahitaji yapo kwa kiwango gani . ?
1. Je wataangali sehemu yenye maahitaji kwa mda gani. ?
3. Je watakaohitajika na ww utakuwepo . ?
Poleni .
Alafu tusikie mnataka kuama sijui mazingira magumu Mara tubadilishane vituo hole wenu .mlikuwa mnalilia tu kmbe ualimu dili ukiwa nje eeh.
Fullshnes Ww