Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awamu hii imejaa wakina Sultani Mangungo!Hivi bado mnamlaumu Sultan Mangungo wa Msovero kwa kuingia mkataba ule wa kilaghai?
The lad is just bogus. U-profesa ni kwa ajili ya mshahara tu; na kuwakoga matonya wenzake.Kwa ujumla Kabudi ni mjinga fulani, huyu Kabudi ndio alikuwa kwenye majadiliano ya na wazungu wa Barrick, alitoka kwenye ule mkutano na maelezo ya uongo, mara sijui tutalipa kishika uchumba, mara sijui wanapitia deni letu. Yaani hadithi kibao.
wahusika wote waliosaini uchafu huu wajiuzulu na wakamatwe harakaSerikali imeufuta mkataba huo uliowahi kutajwa kuwa na thamani ya Shilingi za Kitanzania Bilioni 400
Mwezi Februari mwaka huu Serikali iliweka wazi kuwa imeingia mkataba na Kampuni ya kutoka nchini Kenya ya Indo Power Solutions Ltd iliyojinasibu kuwa na uwezo wa kununua Korosho tani 100,000
Serikali kupitia Waziri wa Biashara, Joseph Kakunda imesema kampuni hiyo imeshindwa kutekeleza sehemu ya makubaliano
Aidha, JamiiForums iliibua madudu ya kampuni hiyo na kuyaanika wazi mapema mwezi Februari
Kwa Uzi ulioibua madudu ya Kampuni hiyo fungus kiunganishi hiki;
Who is INDO Power Solutions na ni nani Bw. Brian Mutembei?
Unapoambia fundi seremala kawa mpishi wa Serena Hotel, mtu unaweza tilia mashaka chakula atakachopika. Nimejaribu sana ku Gogle hiyo kampuni iliyonunua korosho na huyo kiongozi wao aliyetia saini na naibu Waziri, kidogo nimeingiwa na wasiwasi. 1. Kenya kuna kiwanda kimoja tuu cha kubangua...jamii.app
Huyo jamaa alikuwa tapeli kabisa, sijui waziri aliingiaje chaka
Huyo jamaa alikuwa tapeli kabisa, sijui waziri aliingiaje chaka
Hata kuzibangua hizo tani 250,000 kwa mwaka hawawezi wana uwezo wa kubangua tani 50000 tu kwa mwaka kwa hiyo itabidi Watanzania wanunue kwa miaka 5 halafu hiyo misimu ya 2019, 2020, 2021, 2022 na 2023 sijui watazivundika ili Watanzania waendelee kuzinunua Au ndo watatafuta mbia !!!Jamani mzee magu si alisema tunaweza tukagawana hizi korosho kila mtu akapata japo kilo mbili mbili,HNi kheri tukazila wenyewe kisha tukasubiri msimu mwingine unaokuja tutakuwa tushapata mbia wa kununua
Maneno haya si ya "kizalendo" uzalendo ni kinyume chake...Duh hizo korosho si zimeshaanza chipua ghalani?
Iko siku tutaacha siasa kwenye mambo yanayohitaji welediHata kuzibangua hizo tani 250,000 kwa mwaka hawawezi wana uwezo wa kubangua tani 50000 tu kwa mwaka kwa hiyo itabidi Watanzania wanunue kwa miaka 5 halafu hiyo misimu ya 2019, 2020, 2021, 2022 na 2023 sijui watazivundika ili Watanzania waendelee kuzinunua Au ndo watatafuta mbia !!!
Sidhani, maana huyo jamaa hata ule umoja wa wauza mazao duniani hawamtambui, nadhani hili suala lakeWaziri angekuwa ameingia chaka angekuwa ameshawajiwisha. Hajawajibishwa kwa sababu inawezekana kosa hilo ni la watu wengine. Wateule wa zama hizi hawana maamuzi kamili kwenye maeneo wanayosimamia hivyo hawawezi kuwajibika kikamilifu kwa makosa yanayotokea.
Si Prof Kabudi tu. Siku ya Kusaini Mkataba walikuwepo Maprof 7 PhD 4 na Master 3 Vs Mfanyabiashara Mmoja Kutoka KenyaHii ndio mikataba anayoingia Profesa Kabudi. Nikashamuona Profesa Kabudi kwenye jambo lolote huwa najua kabisa hamna jipya hapo.