Hatimaye Siri imefichuka, Timu Burnaboy dhidi Ya Diamond Platnumz

Hatimaye Siri imefichuka, Timu Burnaboy dhidi Ya Diamond Platnumz

master of cities

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
429
Reaction score
625
Diamond Platnums amechaguliwa kuwania tuzo za BET , akiwa ni yeye pekee tokea pande za Africa mashariki....
Kipengele hcho yupo sambamba na mkali Burna boy tokea Nigeria..!

Kinachoshangaza ni kuwepo Kwa makundi yanayompinga kumpigia Kura kutokea hapa hapa nchini kwake Tanzania mahali ambapo alitakiwa apate support kubwa zaidi ....
Makundi hayo yapo sehemu kuu mbili.

1. Kundi linalompinga Kwa mlengo wa kisiasa likiongozwa na accnt maarufu tokea mtandao wa Twitter ya Kigogo 2014...
Hao sababu zao kuu ni Diamond kutohusika katika kukosoa kile wanachokiita ukiukwaji wa haki za binadamu nchini... Pamoja na kuwa upande wa chama tawala cha CCM.

2.Kundi linalompinga Kwa chuki na maslahi ya kimziki ... likiongozwa na mtangazaji wa Clouds Mwijaku , na accnt zingine za udaku eg Carry mastory , Jay maudaku, E.fm media n.k ...... in short group lote la konde gang...

Na hili kundi la pili ndo nitakaloliongelea Mimi.....

Bila kupepesa macho mziki wa bongo fleva Una waanzilishi wake na Una wakongwe wake hata hivyo Diamond Platnumz ameunyanyua mziki huu Kwa kiwango cha juu kuliko msanii yyte Yule .....

Kundi hili limekuwa likijihusisha na kumpa support Harmonize , wakiwa na lengo au matumaini ya kuwa huenda ana nyota ya kumpita Diamond Platnumz , ...story zao , post zao na kila kitu wanachokifanya kimekuwa na vimelea au lengo la kumgusa Diamond Platnumz in a negative way..

Hakuna asiyejua kuwa Burnaboy ni mwanamziki hodar Kwa sasa Africa , na wala hahitaji support ya watanzania kuchukua tuzo hyo , tuzo ya BET kuchukua inategemea unajulikanaje international level
Na bila Shaka Burnaboy anajulikana Zaid kuliko Diamond , kismingi Burnaboy kuchukua hyo tuzo ni Jambo la kufikia na Diamond akichukua basi itakuwa ni Jambo la kupongezwa .....

Lakni Kwa nini hawa waswahili wamelivalia njuga Kwa kiwango hcho ......
Iko hvi , kinachowaumiza kichwa supporter wa Harmonize ni namna ya kupenya na kufika mbali kama alivyo boss wake wa zamani Na aliyemtoa kimziki Diamond Platnumz ,

Wanaona kijana wa Tandale amepenya zaidi , na maneno Yao ya uswahili kimsingi hayagusi kina cha maji , kimsingi Diamond ana supporter kubwa Sana ndani na nje ya nchi, si kama mshindani wake Burnaboy Ila kuliko msanii yyte Kwa ukanda wa Africa mashariki na pengine na Kati.

Hvyo kundi hili wanaona wakimpa support Burnaboy na yeye Kwa namna moja ama nyingine akitambua hlo basi atakuwa tayar kuwa karbu na Harmonize na Harmonize atamtumia kama ngazi ya kumpaisha ili lengo Lao lifanikiwe .....

Diamond anajua kutumia fursa , kitendo cha yeye kuwa nominated , na stuation inayoendelea Mitandaoni inampa mileage kubwa Sana kuwafikia wasaniii wa kiwango cha juu zaidi duniani ....

Vyovyote itakavyokuwa kufanikiwa Kwa lengo Lao kutategemea , bahati na nyota ya msanii wao....na sio kelele za kutaka fulan ashindwe ili fulani apae ....nafkri hzo sarakasi Diamond amecheza nazo tangu anatoka sharobaro record mpak hvi leo ...
 
Diamond Platnums amechaguliwa kuwania tuzo za BET , akiwa ni yeye pekee tokea pande za Africa mashariki....
Kipengele hcho yupo sambamba na mkali Burna boy tokea Nigeria..!
Elezea efm wameingiaje hapo???

Na kwanini yatokee haya makundi wakati hapo mwanzo jamaa alipata sapoti ya zaidi ya 200% hakuna aliempinga????
 
One army against kundi la wachawi na still jamaa anawajambisha upuuzi wao umefanya diamond apate sapoti kubwa ya watu na akipata aibu itakuwa kwao
 
Bet awards Ina voters wake na wako 500 tu..... Sio kina mwijaku........




BET
TRENDING:
STAY UP TO DATE ON THE LATEST IN MUSIC, STYLE, NEWS AND MORE!
BET.com would like to send notifications to your web browser, which may include marketing messages. You can opt-out of receiving these notifications at any time by updating your web settings. See our Privacy Policy for additional information.
SIGN UP



BET Awards Voting Academy​

The BET Awards is back! Ahead of the show, BET needs the help of our most dedicated viewers. Yes, we mean you! We are seeking BET's biggest fans from all over to join the BET Awards 2016 Voting Academy to help determine this year's award winners. In order to be considered a part of this respected group of phenomenal industry experts, fill out the application below and then complete a "knowledge test" covering a variety of entertainment-related questions. If you're a pop culture genius, then you'll have no problem breezing through this quiz. The most knowledgeable and worthy candidates will be handpicked to join the Academy panel. Don't forget, only fans with the best and most correct answers will be chosen. This is your chance to help make your mark on the night. Good luck!​







GET YOUR FIXSubscribe

Subscribe to our Newsletter​

SUBMITSee our Privacy Policy to learn more about our privacy practice.
Privacy PolicyCookies PolicyDo Not Sell My Personal InformationTerms of UseJobsClosed CaptioningSubmission AgreementCopyrightContact UsSite MapTV RatingsParamount+
© 2021 BET Interactive, LLC, a wholly owned subsidiary of Black Entertainment Television LLC. All rights reserved.







pxl
 
Diamond Platnums amechaguliwa kuwania tuzo za BET , akiwa ni yeye pekee tokea pande za Africa mashariki....
Kipengele hcho yupo sambamba na mkali Burna boy tokea Nigeria..!

Kinachoshangaza ni kuwepo Kwa makundi yanayompinga kumpigia Kura kutokea hapa hapa nchini kwake Tanzania mahali ambapo alitakiwa apate
Tuzo achukue anestahili kwa maana ya uwezo mambo ya support sijui na blah blah nyingi tunaharibu maana ya tuzo
 
Diamond atashinda kwa public sympathy.

Wabongo baadhi vichwa maji wanaodhani wanachofanya mtandaoni kumpinga mondi kinaonekana kwenye intaneti ya Tanzania tu, ila kumbuka Kenya, Uganda, Rwanda, Guinea, Ethiopia na mataifa mengine ambako bado wanaimba 'mdogo mdogo', 'inama', 'waah' , 'Nana' etc... nao wana intaneti na wanaona kinachoendelea.

Na asikwambie mtu, kati ya online mobs zinazopaswa kuheshimiwa ni hii 'Fan base' ya Diamond Plutnumz coz hiohio ndo imefanya harmonize azidiwe subscribers na rayvanny, ikafanya zuchu atrend mtandaoni na platforms kubwa za kustream mziki........ (nitaje machache tu)

Diamond kaweza kuteka mashabiki wengi coz ana ka-strategy kake fln ka kuwaaminisha mashabiki wake kwamba wao ndio wamemuweka hapo. Na Diamond ndie msanii pekee mwenye 'loyal' fans hapa Tanzania tangia mziki uanze (sio fans tu, namaanisha loyal fans.
 
Lissu ana ushawishi gan kwenye Sanaa?? Hapo kampa mileage Tu diamond Platnumz , alaf ni Linh serikali ilifanya ukiukwaji wa haki za binadamu kukatokea mob na diamond akazingua, kufanyia kazi emotion za kisiasa huo ni uzwazwa .....! Ukiona mpak wanasiasa wanaacha mambo Yao kumuongelea mwamba bas tambua Domo ni next level Genius
 
Elezea efm wameingiaje hapo???


Na kwanini yatokee haya makundi wakati hapo mwanzo jamaa alipata sapoti ya zaidi ya 200% hakuna aliempinga????
Hili ndo swali la kujiuliza kwanini sasa hivi ?
 
Back
Top Bottom