Hatimaye takwimu za waliopimwa COVID 19 Tanzania zatoka hadharani, wamepimwa watu 652 tu kwa muda wote!

Hatimaye takwimu za waliopimwa COVID 19 Tanzania zatoka hadharani, wamepimwa watu 652 tu kwa muda wote!

Dr Ndungulile(Md, Mmed) alisema wanafanya targeted testing means kwa wale tu waliokuwa screened(kwa kuzingatia clinical criteria na epidemiological criteria) na kukutwa na dalili ndiyo sampuli huchukuliwa na kwenda maabara kupimwa. Advantage moja wapo ya kuscreen before testing means yield inakuwa kubwa kwa sababu unapima wahisiwa tu wenye vigezo. So Mimi sishangai kwa hizo yield results
Hivi unajua kuna asilimia kubwa ya watu walioambukizwa Covid-19 ni asymptomatic? Hii inamaanisha kama hujapima watu wengi au kutoa fursa kwa watu wengi kupimwa basi hutojua wangapi wana ugonjwa huo ambao hawana dalili zozote za kuumwa, na hawa watu ndio huambukiza wengi. Akili za wasomi wengi wa CCM ni za kipumbavu sana, yaani wamejawa na ugoigoi wa fikra.
 
Muda wote huu tangia goma litinge nchini watu waliopimwa ni 600's tu?!!
 
Jana Rais analalamika mpaka pamba ile ya kuchukua kipimo inaagizwa. Wanabana matumizi. Halafu 652 kwa watu million 60 ni utani huo. Ina maana kuna wagonjwa kibao wana virus na hawajadhibitishwa.
Halafu kati ya vipimo 652 watu 480 positive.
Kazi ipo.
RC wa Kilimanjaro hakua na dalili yoyote ya COVID, ila aliamua tu kujipima na akakutwa anayo.

Je watu wa aina yake tuko wangapi mtaani?
 
ni uongo tena wa hali juu sababu kabla viwanja vya ndege na mipaka kufungwa abiria wote kutoka nje walikuwa wakipimwa airport ndege zote na mabasi yote toka nje ya nchi

hiyo dash board ya uongo wachina pekee watalii walikuwa wakiingia si chini ya mia sita kwa wiki wote wakipimwa uwanja wa ndege wa dar na kilimanjaro na zanzibar bado hujaongelea mabasi ya kutoka kenya,uganda,rwanda,burundi,zambia ,malawi,zmibabwe,msumbiji

takwimu za mleta mada za uongo
Airport walikuwa na Kipima joto. Ndo maana mgonjwa wa kwanza Arusha hakukutwa na dalili za korona ingawa yeye aliona kabisa atakuwa nao. Walipochukua sample na kupima wakakuta positive.

Tutofautishe kupima viashiria(joto) na kupima sample( sijui tuna mashine ngapi kwa kupimia sample)
 
Jana Rais analalamika mpaka pamba ile ya kuchukua kipimo inaagizwa. Wanabana matumizi. Halafu 652 kwa watu million 60 ni utani huo. Ina maana kuna wagonjwa kibao wana virus na hawajadhibitishwa.
Halafu kati ya vipimo 652 watu 480 positive.
Kazi ipo.
[emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Airport walikuwa na Kipima joto. Ndo maana mgonjwa wa kwanza Arusha hakukutwa na dalili za korona ingawa yeye aliona kabisa atakuwa nao. Walipochukua sample na kupima wakakuta positive.

Tutofautishe kupima viashiria(joto) na kupima sample( sijui tuna mashine ngapi kwa kupimia sample)
Asante sana mkuu, maana nawaelewesha hawaelewi. Yani kusema ukweli watanzania hasa wa CCM wana vichwa vigumu sana!
 
Mbuzi na papai pia zimo kwenye hizi hesabu au hazipo??
Hazipo, hao wamechukua takwimu za mwisho kutolewa na serikali ndiyo maana unaona cases zimesalia 480
 
Back
Top Bottom