Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliza akili yako kidogo mkuu. Utaelewa kuwa kati ys 650 ÷ waliopimwa (wakiwemo akina Sara, Elizabeth n.k), 480÷ ni positive.
Sisi tinapima mapapai na mafenesi ,hatuna stressKenya wanapima 5,000 kwa siku sisi miezi yote tumepima 600 tu. Jiwe jiwe kweli [emoji23]
Zimo mkuu. Waliokuwa wanapima samples hawakujua kuwa wanajaribiwa. Kwa hiyo akina Elizabeth wamo kwenye takwimuMbuzi na papai pia zimo kwenye hizi hesabu au hazipo??
Hivi unajua kuna asilimia kubwa ya watu walioambukizwa Covid-19 ni asymptomatic? Hii inamaanisha kama hujapima watu wengi au kutoa fursa kwa watu wengi kupimwa basi hutojua wangapi wana ugonjwa huo ambao hawana dalili zozote za kuumwa, na hawa watu ndio huambukiza wengi. Akili za wasomi wengi wa CCM ni za kipumbavu sana, yaani wamejawa na ugoigoi wa fikra.Dr Ndungulile(Md, Mmed) alisema wanafanya targeted testing means kwa wale tu waliokuwa screened(kwa kuzingatia clinical criteria na epidemiological criteria) na kukutwa na dalili ndiyo sampuli huchukuliwa na kwenda maabara kupimwa. Advantage moja wapo ya kuscreen before testing means yield inakuwa kubwa kwa sababu unapima wahisiwa tu wenye vigezo. So Mimi sishangai kwa hizo yield results
Basi Sawa...Zimo mkuu. Waliokuwa wanapima samples hawakujua kuwa wanajaribiwa. Kwa hiyo akina Elizabeth wamo kwenye takwimu
Hata namba moja nae anashangaa?!WANAPIMA WALE WALIOONYESHA DALILI TU HALAFU WANASHANGAA KWANI WENGI WANAKUTWA POSITIVE!
RC wa Kilimanjaro hakua na dalili yoyote ya COVID, ila aliamua tu kujipima na akakutwa anayo.Jana Rais analalamika mpaka pamba ile ya kuchukua kipimo inaagizwa. Wanabana matumizi. Halafu 652 kwa watu million 60 ni utani huo. Ina maana kuna wagonjwa kibao wana virus na hawajadhibitishwa.
Halafu kati ya vipimo 652 watu 480 positive.
Kazi ipo.
Airport walikuwa na Kipima joto. Ndo maana mgonjwa wa kwanza Arusha hakukutwa na dalili za korona ingawa yeye aliona kabisa atakuwa nao. Walipochukua sample na kupima wakakuta positive.ni uongo tena wa hali juu sababu kabla viwanja vya ndege na mipaka kufungwa abiria wote kutoka nje walikuwa wakipimwa airport ndege zote na mabasi yote toka nje ya nchi
hiyo dash board ya uongo wachina pekee watalii walikuwa wakiingia si chini ya mia sita kwa wiki wote wakipimwa uwanja wa ndege wa dar na kilimanjaro na zanzibar bado hujaongelea mabasi ya kutoka kenya,uganda,rwanda,burundi,zambia ,malawi,zmibabwe,msumbiji
takwimu za mleta mada za uongo
Hata wewe usipojikinga utaondoka kwa coronaYaani tumeachwa tujifie kama Ng'ombe vile. Ila I swear wote ambao wapo behind haya yanayoendelea wataanza kuondoka wao na corona.
Usahihi: Wenye dalili..!!Wanapima waliokwisha ugua mkuu. Ndiyo maana unaona hivyo
[emoji1][emoji1][emoji1]Jana Rais analalamika mpaka pamba ile ya kuchukua kipimo inaagizwa. Wanabana matumizi. Halafu 652 kwa watu million 60 ni utani huo. Ina maana kuna wagonjwa kibao wana virus na hawajadhibitishwa.
Halafu kati ya vipimo 652 watu 480 positive.
Kazi ipo.
Asante sana mkuu, maana nawaelewesha hawaelewi. Yani kusema ukweli watanzania hasa wa CCM wana vichwa vigumu sana!Airport walikuwa na Kipima joto. Ndo maana mgonjwa wa kwanza Arusha hakukutwa na dalili za korona ingawa yeye aliona kabisa atakuwa nao. Walipochukua sample na kupima wakakuta positive.
Tutofautishe kupima viashiria(joto) na kupima sample( sijui tuna mashine ngapi kwa kupimia sample)