Hatimaye tamthilia ya Isidingo yafika mwisho

Acapulco bay dahhhhh πŸ˜‚πŸ˜‚
hata story nshaisahau maana nilikuwa bado kinda kiasi na kiingereza sifuri kabisaa. Ubarikiwe mkuu
Kuna mwanamke anaitwa Rachel, yule jamaa waliyedhani amekufa sijui anaitwa Anthony?
 
Piere Devilious Mzee Boss Mkuu wa Mgodi Mkewe alikuja kuliwa na Dogo ambaye alikuja funikwa na Mgodi... Papa G alikuwa bonge la Don.. Mapenzi ya Derick Nyati na Philipa niliyapenda sana...

Kulikuwa na Mnaigeria anaongea Kiswahili..

Bila Kumsahau Mtanzania wetu aliyeigiza Isidingo Sauda Simba
 
He

Hebu nitajie hiyo ya zamani kwa hapa Tz ni IPI?Isidingo anachukua namba moja mkuu...walikuja kina the bold n beatutyfull,lamujer de mivida,de Lorenzo,secretory de amor kina the promise na nyingine nyingi ila Isidingo ikabaki!
Unaijua the days of our lives mkuu au accapulco bay??? Shida enzi zile tv zilikua chache tofauti na sasa

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Zamani kulikuwa na days of our life, sunset beach. Ila ITV kulikuwa na acupulco bay nk. Hii niliingalia toka epsodi wani, kipindi nnaye mkumbuka ni Nandipa alikuwa na boyfriend wake nimemsahau kidogo
Na CTN kulikuwa na Acapulco Bay miaka ya 90
 
Imeanza 1995 wakati akina wengine hapa wananyonya wengine wanamaliza la saba mie nilikuwepo ila mdogo sana.
I think sisi tulikuwa tunaimba mabata wadogo
 
Niliwah kaa kwa watu naangalia hiyo kitu had saa 6 usiku.. kurudi home kimbembe ..asubuh nilikula mboko za kutosha🀣
NEKTA na Vyuo viwe vinatunga maswali kutoka kwenye tamthilia Kama hizi na zile muvi za kibongo
 
Hii kitu isidingo wala haijaisha nimeangalia episodes kibao YouTube zaid ya hizo walizotuonesha ITV tanzania
 
Zamani kulikuwa na days of our life, sunset beach. Ila ITV kulikuwa na acupulco bay nk. Hii niliingalia toka epsodi wani, kipindi nnaye mkumbuka ni Nandipa alikuwa na boyfriend wake nimemsahau kidogo

Sunset beach iyo weka mbali na watoto,makamuzi live live bila changa!
 
Isidingo ilianza mwaka 97 au 98. Kabla ya hapo kulikuwa na "Egoli, the place of Gold"
 
Nilianza kuangalia nikiwa form one mpaka sasa ninakaz na familia hapo nimepita form six na chuo inakuja kuisha leo maana ilinichisha ila kulikuwa na pisi mle nilikuwa nazielewa mtu anaanza kijana mpaka anazeeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…