Watu walizaa watoto wakawaita Dereck Nyati kisa Nyota wa Isidingo. Balaa sanaZamani kulikuwa na days of our life, sunset beach. Ila ITV kulikuwa na acupulco bay nk. Hii niliingalia toka epsodi wani, kipindi nnaye mkumbuka ni Nandipa alikuwa na boyfriend wake nimemsahau kidogo
Egoli place of Gold 🙂Ilianza baada ya Egoli kuisha...
Waaaay back wakati ITV wanaweka one big TV in different towns in the country....uzee. Nikiwa nafundisha Old Moshi sec.....shkamoo mimi.
Sauda Simba si alikuwa kwenye Egoli?Piere Devilious Mzee Boss Mkuu wa Mgodi Mkewe alikuja kuliwa na Dogo ambaye alikuja funikwa na Mgodi... Papa G alikuwa bonge la Don.. Mapenzi ya Derick Nyati na Philipa niliyapenda sana...
Kulikuwa na Mnaigeria anaongea Kiswahili..
Bila Kumsahau Mtanzania wetu aliyeigiza Isidingo Sauda Simba
Binafsi pia..Huyu mwamba alifanya niendelee kuangalia IsidingoView attachment 1718572
Huwa ni mtu Mafia sana afu yuko very calculated, nadhani ndio last man standing, Barker, Papa G wote wamepotea.Binafsi pia..
Kama ile part ya jana anamuua Mayekiso alicheza vizuri sana.
Ni kweli mkuu ila, haijafika miaka 40Hii si ndo tamthilia washiriki wanakufa kweli?
Ukisikia mtu anaumwa au kafa ujue kafa kweli?
Tamthilia miaka 40???
Nilikua naiona channel ten ila sio ITVKuna tamthilia ya "Days of our lives" nayo ilikuwa ya kitambo.
Yeah uko sahihi wengi wanakurupuka na kuandika imefika miaka 301996?
Kivipi wakati tamthilia imeanza kurushwa kwenye luninga 1998?
Tatizo wengi wamepata fahamu wameikuta hivyo wanaconclude ya miaka mingi. Mi niliiangalia toka day one. Niliacha pale yule babu black alipouawa kule mgodini, nikaona hainivutii tena nikaachana nayo. Tamthiria ya days of our life niliipenda sana, ila CTN sijui DTV vile wakaacha kuionesha wakaanza kuonesha tamthilia za kisasaYeah uko sahihi wengi wanakurupuka na kuandika imefika miaka 30 View attachment 1718610
Isidingo ina miaka 21Tatizo wengi wamepata fahamu wameikuta hivyo wanaconclude ya miaka mingi. Mi niliiangalia toka day one. Niliacha pale yule babu black alipouawa kule mgodini, nikaona hainivutii tena nikaachana nayo. Tamthiria ya days of our life niliipenda sana, ila CTN sijui DTV vile wakaacha kuionesha wakaanza kuonesha tamthilia za kisasa
Ilisababisha mpaka watu wailaani Tv station kwa ajili ya mavazi na makamuzi. Ila ni kawaida tu tatizo ulikwa wakati. Nadhani ikioneshwa leo hakuna atakaeona cha ajabu sanaSunset beach iyo weka mbali na watoto,makamuzi live live bila changa!
Kamuangalie Len mi ho bwana mdogo huku tuachie sisiMoja ya tamthiliya za hovyo , ukifatilia hyo tamthiliya utakuja kustukia we ni babu au bibi....!!!
Naam hiyo ndio shida, aisee Mimi niliacha kuiangalia Mr.nyati alivopotea.Tatizo wengi wamepata fahamu wameikuta hivyo wanaconclude ya miaka mingi. Mi niliiangalia toka day one. Niliacha pale yule babu black alipouawa kule mgodini, nikaona hainivutii tena nikaachana nayo. Tamthiria ya days of our life niliipenda sana, ila CTN sijui DTV vile wakaacha kuionesha wakaanza kuonesha tamthilia za kisasa
Hilo halina ubishi, ila tamthilia kama ya days of our life ilianza kuoneshwa toka miaka ya 1960 huko ni ya zamani zaidi.Isidingo ina miaka 21
Hahaha asee!Watu walizaa watoto wakawaita Dereck Nyati kisa Nyota wa Isidingo. Balaa sana
Ilianza kuonyeshwa ITV mwaka 1999We ndo sio wa zamani mm nimeanza kuangalia toka 1999
Ingawa mwendo tumeumaliza wametufikisha kileleni
Kwa sasa ITv wamehamia kwenye UZALO soon wanakinukisha kmk ITV mpo juu.
Isidingo umenipa talaka ghafla sana