Hatimaye tamthilia ya Isidingo yafika mwisho

Kitu ambacho wengi hamkijui ni kwamba Isidaingo (kama alivyokua anatamka mjomba wangu kipindi icho) haijaisha sema imelazimikia kukatishwa kutokana na ratiba za rugby kuingiliana pia kuna masilahi flani hayapo sawa.
Mbona wao wameandika mwisho?
Ina maana hawatoonesha tena japo hayo ya kukatishwa watu wanajua
Lakini ukweli ni kwamba imekatishwa lakini imeishia hapa maana yake imefika mwisho
 
Isidingo The Need.

La Mujer De Mi Vida.

Acapulco Bay.

Haya madude yalikua yananiudhi kinoma. Bora ilo Acapulco lilikua na show show kiasi chake.

Lakini kwa urefu isidingo the need imevunja rekodi!
 
Kitu ambacho wengi hamkijui ni kwamba Isidaingo (kama alivyokua anatamka mjomba wangu kipindi icho) haijaisha sema imelazimikia kukatishwa kutokana na ratiba za rugby kuingiliana pia kuna masilahi flani hayapo sawa.

Imekatishwa tangu mwaka jana mwanzoni kwa kule AK,na sababu kuu walisema sio economically viable anymore.

Unajua wale SABC sasa hivi wana tamthilia nyingi ambazo zinabamba sana kwa kule,ISIDINGO ilikuwa kama imechokwa/imepitwa na wakati kwa kule!!
 
Binafsi pia..
Kama ile part ya jana anamuua Mayekiso alicheza vizuri sana.
Duhh mzee alikuwa ni shida yaani ukisikia Sibeko Lincoln Sibeko alikuwa anavaa uhusika hasa na yeye chupi ilikuwa haimpiti akiipenda hakuna mwanamke alikuwa anapindua kwake pale horizon deep mpaka Nina zamdela yeye akijiita nina escobar alipita naye
..sijui ilikuwaje akaiacha pisi Kali katheglo...ila katheglo alikuja kuliwa na Mtt wake
....
 
Si ndio nawaambia wanabisha mkuu ...miaka karibuni 22 kitu kinaruka tu..sidhani kama kuna tamthilia imerushwa na kituo chochote cha TV Tanzania kwa muda mrefu kama Isidingo the need
Lakini kwa urefu isidingo the need imevunja rekodi!
 
Ifuatiliye online you tube inaendelea
 
Binafsi pia..
Kama ile part ya jana anamuua Mayekiso alicheza vizuri sana.

Kweli una moyo wa pekee mpk jana ulikua unangaalia? Sasa imagine huo muda ungewekeza kwy kitu kingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usipanic lkn.
 
Mkuu nini maana ya neno ISIDINGO?
 
Ilianza baada ya kukatishwa Egoli,niliipenda sana egoli japo nilikua sielewi lugha ya mzungu. Kisha ikaja isidingo,nilivutiwa na sare za shule za letti kama za akina sarafina vile
Ilianza baada ya kukatishwa Egoli,niliipenda sana egoli japo nilikua sielewi lugha ya mzungu. Kisha ikaja isidingo,nilivutiwa na sare za shule za letti kama za akina sarafina vile
Umesahau Back stage..
 
Nili fall in love, nika fall out of love, nikafall tena....yaani ngoma imekuwa ndefu mno hii, Ila very interesting, wamekuwa wengi na baadhi walishakufa Ila ni moja ya soaps nzuri sana za kiafrika.
 
He

Hebu nitajie hiyo ya zamani kwa hapa Tz ni IPI?Isidingo anachukua namba moja mkuu...walikuja kina the bold n beatutyfull,lamujer de mivida,de Lorenzo,secretory de amor kina the promise na nyingine nyingi ila Isidingo ikabaki!
Egoli...place of gold ni ya zamani zaidi kuliko hiyo Isidingo. Egoli ndo ya mwanzoni kabisa ITV

Sent from my moto g power using JamiiForums mobile app
 
Kweli una moyo wa pekee mpk jana ulikua unangaalia? Sasa imagine huo muda ungewekeza kwy kitu kingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usipanic lkn.
Maisha ndio hayahaya mkuu kwani kuna shida gani MTU uka relax kwa kuangalia movie au tamthilia? Ina maana wote ambao hutizama hawana akili?
 
Hatimaye tumefika kileleni sasa
UZALO here we come
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…