Hatimaye tapeli sugu wa viwanja nchini atiwa nguvuni

Hatimaye tapeli sugu wa viwanja nchini atiwa nguvuni

Kama wewe ni muhanga wa hizo kampuni kutapeli viwanja za mmiliki jina Yonah Kittah jongea central Dar ofisi ya upelelezi waone wahusika ukiwa na ushahidi wa documents zako zote wakutolee shimoni mtu wako ili uongezwe kwenye list ya watu waliotapeliwa na Yonah Kittah.

"Mnaenda tu kuwapa chakula hao Police"
 
Duh,ndio maana alikua akiishi Kama digi Digi,kwenye gari hashuki,ofisini haendi,ila jamaa kawapiga parefu,nilikua na mdai sio ishu ya viwanja,nikaenda shambani kwake ,nikabeba mifugo kadhaa ,tukamalizana kwa staili hiyo,pesa ikarudi na ya ziada nikachoma nyama
Nielekeze shamba lake nami nikafidia milion 6 yangu.
Alikua na majengo yake Moshi bar kwa Mkolemba tungejifidia tukakuta hayana umiliki wake alishauza
 
Anapiga mafala nchi nzima, sio mimi, mimi ujaniibia kizembe, nakupa 60 kizembe, ukimbie, uanze biashara, mji huu huu, sio rahisi.
Nadhani hauelewi mchakato rudia kusoma.
Hizi ni ishu za mikataba Sio mnapeana bar hizo pesa.
Na Sio mzigo wa Mara moja
 
Kama wewe ni muhanga wa hizo kampuni kutapeli viwanja za mmiliki jina Yonah Kittah jongea central Dar ofisi ya upelelezi waone wahusika ukiwa na ushahidi wa documents zako zote wakutolee shimoni mtu wako ili uongezwe kwenye list ya watu waliotapeliwa na Yonah Kittah.

"Mnaenda tu kuwapa chakula hao Police"
Acha mvua inyeshe itajulikana ipi Simba ipi yanga,ikigoma plan A plan B ipo
 
duh na kwa sasa kuna utitiri wa hizi kkampuni za kuuza viwanja
Kuwa makini wabongo wanapigwa sana pia hata hizi za kuuza vitu online sijui China wabongo wanapigwa sana.
Toka lini mswahili akajua biashara Zaid ya kupiga 500 ya Leo unakosa milion 3 ya kesho.
Wabongo uaminifu ni sifuri
 
ni kuwa makini maana kila siku watu wanabuni mbinu za kupiga hela za watu.
 
Bado yule wa vitu vya electronics anajifanya yupo Zanzibar ana accounts Instagram zaidi ya 10 na anafanya promo kila siku.

Juzi niliona ya vyombo ni yake ni tapeli mshenzi sana.
 
Back
Top Bottom