Nashangaaga sana eti hata yule Changu dowa aliyezaa na Sugu naye kuna mazezeta yanamtumia pesa awaagizie vitu Uturuki hapo Mimi ndio huwa nashindwa kuelewa.
Hivi mgonjwa wa akili kama Faiza anakutapeli vipi pesa kama wewe una akili timamu.
Tatizo kubwa wengi hamuelewi hili swala la viwanja ujambazi namba moja wameanzisha serikali wenyewe.
Halmashauri inaweza kutangaza kuuza viwanja kwa kukusanya fee ya sh 20,000/= kwa kila fomu halafu hakuna anayeuziwa kiwanja na serikali inadhurumu pesa za watu.
Sasa na magenius wameiona fursa unakodi ofisi nzuri unalipia kodi ya miezi 6, unatafuta wadada 6 waliomaliza Chuo hawana deal unawaweka ofisini kazi yao kukusanya risiti za malipo ya bank wewe mpunga unajaa tu kwenye account.
Ukiona mtu anaishi hotelini miaka yote muogope sana.