Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 475
- 1,318
Kweli mkuu, mtu aliekuja kwa plan B hauwezi pata haki yako Kwa plan A ... Hapo plan B muhimu ...sema watanzania wapole sanaHawa organized criminal gang wanacheza na mahakama na mda.
Watu wapo bize watapigwa kalenda miaka wanapungua mmoja mmoja then hakimu anafuta kesi,mtu aache mishe zake atoke Arusha dodoma au Mikoani aje dar ipigwe tarehe anakata tamaa.Kesi ya awali ilikua hivyo hivyo ana kesi kisutu tayari process yake imesuasua.
Huyu aogopi kesi huu utapeli wa kucheza na kesi Kama walivyokuwa mapapaa ya mjini.
Matapeli dawa zao Huwa ni plan B na Sio kesi mtasumbuana sana.