Nielekeze shamba lake nami nikafidia milion 6 yangu.Duh,ndio maana alikua akiishi Kama digi Digi,kwenye gari hashuki,ofisini haendi,ila jamaa kawapiga parefu,nilikua na mdai sio ishu ya viwanja,nikaenda shambani kwake ,nikabeba mifugo kadhaa ,tukamalizana kwa staili hiyo,pesa ikarudi na ya ziada nikachoma nyama
Mfate central kamsikilize yupo.
Anapiga nchi nzima
Nadhani hauelewi mchakato rudia kusoma.Anapiga mafala nchi nzima, sio mimi, mimi ujaniibia kizembe, nakupa 60 kizembe, ukimbie, uanze biashara, mji huu huu, sio rahisi.
Acha mvua inyeshe itajulikana ipi Simba ipi yanga,ikigoma plan A plan B ipoKama wewe ni muhanga wa hizo kampuni kutapeli viwanja za mmiliki jina Yonah Kittah jongea central Dar ofisi ya upelelezi waone wahusika ukiwa na ushahidi wa documents zako zote wakutolee shimoni mtu wako ili uongezwe kwenye list ya watu waliotapeliwa na Yonah Kittah.
"Mnaenda tu kuwapa chakula hao Police"
Atashinda kesi Pana siku ajiandae kushinda BombaSio kufungwa tu bali atashinda kesi akiamua anaweza fungua kesi ya madai.
Hatafungwa lakin hatakuwa na pesa yoyote atakayobak nayoHatari sana na hatafungwa cha ajabu
Anacheza na kipengele police haidili na madai,nendeni mahakamani,atacheza na procedure za mahakama kesi miaka 8 ushahidi haujakamilika,watu wanakataa tamaa anafungua kampuni nyingineduh na kwa sasa kuna utitiri wa hizi kkampuni za kuuza viwanja
Bomba la nini!?..maku wa hivyo unamuoka kwa gunia Zima la mkaaAtakula bomba Sio kila mtu anatapelika kipumbavu anachezea mdomo wa simba
Alichofanya ni wizi wa kuaminika,ni police caseAnacheza na kipengele police haidili na madai,nendeni mahakamani,atacheza na procedure za mahakama kesi miaka 8 ushahidi haujakamilika,watu wanakataa tamaa anafungua kampuni nyingine
Kuwa makini wabongo wanapigwa sana pia hata hizi za kuuza vitu online sijui China wabongo wanapigwa sana.duh na kwa sasa kuna utitiri wa hizi kkampuni za kuuza viwanja
ni kuwa makini maana kila siku watu wanabuni mbinu za kupiga hela za watu.Kuwa makini wabongo wanapigwa sana pia hata hizi za kuuza vitu online sijui China wabongo wanapigwa sana.
Toka lini mswahili akajua biashara Zaid ya kupiga 500 ya Leo unakosa milion 3 ya kesho.
Wabongo uaminifu ni sifuri
Mmelizwa wengiDuh,ndio maana alikua akiishi Kama digi Digi,kwenye gari hashuki,ofisini haendi,ila jamaa kawapiga parefu,nilikua na mdai sio ishu ya viwanja,nikaenda shambani kwake ,nikabeba mifugo kadhaa ,tukamalizana kwa staili hiyo,pesa ikarudi na ya ziada nikachoma nyama