PANZI DUME
Senior Member
- Jan 20, 2018
- 167
- 154
Naomba niambiwe tofauti ya maafikiano na MkatabaHapo awali wadau mbalimbali walifafanua kuwa ule haukuwa mkataba Bali maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba niambiwe tofauti ya maafikiano na MkatabaHapo awali wadau mbalimbali walifafanua kuwa ule haukuwa mkataba Bali maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashata.
Huyu naye sijui anaandika ujinga gani huuTEC ilikuwa ikiheshimika sana kiasi ambacho watu walidhani ndio wanaiongoza nchi indirectly. Sasa unaweza kudanganya watu lakini siyo siku zote.
Kumbe watu wamejua kuwa kelele zao ilikuwa udini tu sawa na ule wimbo wa Prof. Jay kwamba wanatangaza amani huku wameficha mapanga. Kilichokuwa kinapingwa na wao siyo mkataba ule bali ni watu gani wanakuja.
Hapo awali wadau mbalimbali walifafanua kuwa ule haukuwa mkataba Bali maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashata. Wao wakapinga sana na kusema ule ndio mkataba wenyewe na mpaka kuandika waraka wala hawakuhitaji kabisa kuelimishwa kitu ambacho kisipelekea wao kuandika waraka i.e walikurupuka na inaonesha uwezo wao mdogo wa kuainisha mambo.
Siku nyingine wawe wanakaa kwa kina kabla ya matamko ili kurudisha credibility yao japo maji yakimwagika hayazoleki.
Kwa hiyo na wewe unaendelea na msimamo kuwa ule sio mkataba bali ni maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashara? Tangu lini 'maafikiano tu' yakaenda kujadiliwa na kupigiwa kura bungeni ili kuyapitisha?Hapo awali wadau mbalimbali walifafanua kuwa ule haukuwa mkataba Bali maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashata.
Think it differently, ingekuwa mkataba ingewaje tena uakaeditiwa? Mkataba ni final hasa ukishasainiwaKwa hiyo na wewe unaendelea na msimamo kuwa ule sio mkataba bali ni maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashara? Tangu lini 'maafikiano tu' yakaenda kujadiliwa na kupigiwa kura bungeni ili kuyapitisha?
HowTEC haiwezi kupoteza imani hata siku moja,TEC itabaki kuwa TEC.
TEC walituandikia waraka wakidai wamebaini MAPUNGUFU kwenye mkataba wa bandari, waraka ukasomwa kwenye nyumba za ibada kuishinikiza serikali IUFUTE MARA MOJA.TEC ilikuwa ikiheshimika sana kiasi ambacho watu walidhani ndio wanaiongoza nchi indirectly. Sasa unaweza kudanganya watu lakini siyo siku zote.
Kumbe watu wamejua kuwa kelele zao ilikuwa udini tu sawa na ule wimbo wa Prof. Jay kwamba wanatangaza amani huku wameficha mapanga. Kilichokuwa kinapingwa na wao siyo mkataba ule bali ni watu gani wanakuja.
Hapo awali wadau mbalimbali walifafanua kuwa ule haukuwa mkataba Bali maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashata. Wao wakapinga sana na kusema ule ndio mkataba wenyewe na mpaka kuandika waraka wala hawakuhitaji kabisa kuelimishwa kitu ambacho kisipelekea wao kuandika waraka i.e walikurupuka na inaonesha uwezo wao mdogo wa kuainisha mambo.
Siku nyingine wawe wanakaa kwa kina kabla ya matamko ili kurudisha credibility yao japo maji yakimwagika hayazoleki.
All agreements are not contracts but all contracts are agreements.Naomba niambiwe tofauti ya maafikiano na Mkataba
Kawaulize hao mapadri wako kama wameuona huo mkataba uliosainiwa jana, na yale makubaliano ya mwanzo uliza kama yamefutwa usiwe unaropoka tuWewe kweli hamnazo.Baada ya kubanwa mkarekebisha vifungu vya mkataba kulingana na mnatakiwa ya watanganyika na kuja navyo waziwazi mbele ya watu wote.Kama hamkuogopa Si mngeendelea na usiri kwenye huo mkataba tuone kama moto usingeendelea kuwaka🤔
Kitima anasema aliitwa bila kujua anaenda kufanya niniTEC walituandikia waraka wakidai wamebaini MAPUNGUFU kwenye mkataba wa bandari, waraka ukasomwa kwenye nyumba za ibada kuishinikiza serikali IUFUTE MARA MOJA.
tumeshuhudia zawadi ya Milioni 100,kanisani na kikao cha Kadinali na serikali baada ya hapo tumeona MCHANA KWEUPE TEC inatuma wawakilishi kwenye hafla ya kusaini mkataba!!!?
Je TEC walishindwa kutupa taarifa ya nini kinachoendelea? Kitima amekosa uungwana wa kutuambia kwanini wanakubali kuhudhuria na kuubariki mkataba? Je kuna muendelezo wa kuishinikiza serikali iufute au ilikuwa ni DANGANYA TOTO
KITIMA njoo hapa useme unatuonaje watanzania?
Kama wamebadilisha vipengele basi Dr Slaa, Mudude, Mwabukukusi na Tundu Lissu wachukue maua yao.TEC ilikuwa ikiheshimika sana kiasi ambacho watu walidhani ndio wanaiongoza nchi indirectly. Sasa unaweza kudanganya watu lakini siyo siku zote.
Kumbe watu wamejua kuwa kelele zao ilikuwa udini tu sawa na ule wimbo wa Prof. Jay kwamba wanatangaza amani huku wameficha mapanga. Kilichokuwa kinapingwa na wao siyo mkataba ule bali ni watu gani wanakuja.
Hapo awali wadau mbalimbali walifafanua kuwa ule haukuwa mkataba Bali maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashata. Wao wakapinga sana na kusema ule ndio mkataba wenyewe na mpaka kuandika waraka wala hawakuhitaji kabisa kuelimishwa kitu ambacho kisipelekea wao kuandika waraka i.e walikurupuka na inaonesha uwezo wao mdogo wa kuainisha mambo.
Siku nyingine wawe wanakaa kwa kina kabla ya matamko ili kurudisha credibility yao japo maji yakimwagika hayazoleki.
Kwani hukuona ule umeenda bungeni ukiwa tayari umeshasainiwa? Watu walipokuwa na mashaka, usifikiri ni wajinga. Mojawapo ya mambo yaliyoleta mashaka ni kuwa ulishasainiwa.Think it differently, ingekuwa mkataba ingewaje tena uakaeditiwa? Mkataba ni final hasa ukishasainiwa
Ucjal.Kwani, wewe unajua ni kwa kiwango gani maoni yao yamesababisha mabadiliko kwenye mkataba wa sasa?
Au alipewa maelekezo na kadinali??Kitima anasema aliitwa bila kujua anaenda kufanya nini
Amini Tanzania itazidi kua masikini Kwa sababu ya UJINGA na ulimbukeniUsilo lijua ni usiku WA Giza tena nene
Marekebisho yamefanyika kwa % kubwa, hakuna ambaye anapinga uwekezaji watu walikuwa wanapinga aina ya mkaaba maboresho yamefanyikaTEC ilikuwa ikiheshimika sana kiasi ambacho watu walidhani ndio wanaiongoza nchi indirectly. Sasa unaweza kudanganya watu lakini siyo siku zote.
Kumbe watu wamejua kuwa kelele zao ilikuwa udini tu sawa na ule wimbo wa Prof. Jay kwamba wanatangaza amani huku wameficha mapanga. Kilichokuwa kinapingwa na wao siyo mkataba ule bali ni watu gani wanakuja.
Hapo awali wadau mbalimbali walifafanua kuwa ule haukuwa mkataba Bali maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashata. Wao wakapinga sana na kusema ule ndio mkataba wenyewe na mpaka kuandika waraka wala hawakuhitaji kabisa kuelimishwa kitu ambacho kisipelekea wao kuandika waraka i.e walikurupuka na inaonesha uwezo wao mdogo wa kuainisha mambo.
Siku nyingine wawe wanakaa kwa kina kabla ya matamko ili kurudisha credibility yao japo maji yakimwagika hayazoleki.
Mabadiliko gani Mkuu kwani hayo mambo kuwa DPW watapewa gati no 4-7 na ukomo wa muda utakuwepo kati ya DPW na TPA si ndio mambo Serikali ilikuwa inasema kila siku mpaka wakatumwa kina Kitila,Wasira nk kuja mikoani kutufafanulia mambo hayohayo?Kwani, wewe unajua ni kwa kiwango gani maoni yao yamesababisha mabadiliko kwenye mkataba wa sasa?
YapHongera TEC kwa tamko Safi lililopelekea serikali kukaa chini na kuweka makubaliano yenye tija.
Tena maboresho makubwa sn yamefanyikaWewe kweli hamnazo.Baada ya kubanwa mkarekebisha vifungu vya mkataba kulingana na mnatakiwa ya watanganyika na kuja navyo waziwazi mbele ya watu wote.Kama hamkuogopa Si mngeendelea na usiri kwenye huo mkataba tuone kama moto usingeendelea kuwaka🤔