wa ukae
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 2,720
- 2,151
Mbona IGA iliwekwa humu na ilieleza yote kuhusu mambo ya ukomo itakuwa kwa Mkataba mahsusi utakaoingiwa kati ya TPA na DPW ila watu walibisha kwa kusema HGA aina nguvu kuliko IGA na bandari yetu imeuzwa milele?Mwanzo ulikuwa unajua ukomo wa mkataba?
Kama ulikuwa mfuatiliaji mzuri kilichofanyika jana si ndicho walichokuwa wanakisema kina Wasira,Kitila nk sasa sisi tulichokuwa tunapinga ni nini na jana Serikali wamefanya nini?
Ndugu yangu mambo mengine lazima tukubali tu Akili za kuambiwa unachanganya na zako mambo ya kufuatafuata mkumbo mkubwa mzima unaweza ukajikuta unaumbuka bila sababu