Hatimaye TEC yapoteza imani katika jamii

Hatimaye TEC yapoteza imani katika jamii

Naomba niambiwe tofauti ya maafikiano na Mkataba
maafikiano sio rasmi na kikawaida ni ya mdomon ila mkataba lzm uwe kweny maandishi ingawaje maafikiano ndo mkataba , yaani mnachoafikiana ndo mnaandikishana kuitwa mkataba
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
TEC ilikuwa ikiheshimika sana kiasi ambacho watu walidhani ndio wanaiongoza nchi indirectly. Sasa unaweza kudanganya watu lakini siyo siku zote.

Kumbe watu wamejua kuwa kelele zao ilikuwa udini tu sawa na ule wimbo wa Prof. Jay kwamba wanatangaza amani huku wameficha mapanga. Kilichokuwa kinapingwa na wao siyo mkataba ule bali ni watu gani wanakuja.

Hapo awali wadau mbalimbali walifafanua kuwa ule haukuwa mkataba Bali maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashata. Wao wakapinga sana na kusema ule ndio mkataba wenyewe na mpaka kuandika waraka wala hawakuhitaji kabisa kuelimishwa kitu ambacho kisipelekea wao kuandika waraka i.e walikurupuka na inaonesha uwezo wao mdogo wa kuainisha mambo.

Siku nyingine wawe wanakaa kwa kina kabla ya matamko ili kurudisha credibility yao japo maji yakimwagika hayazoleki.
Una tatizo kuchambua na kuchanganua mambo kama hauendeshwi na hisia za kidini. Bado hujajua tu kuwa mchango wa TEC kwenye swala la bandari umebadilisha vitu vingi kwa maslahi ya taifa? Anyway kwenye nchi mbaboya hawakosekani, inawezekana kweli wapo waliopoteza Imani!
 
TEC ilikuwa ikiheshimika sana kiasi ambacho watu walidhani ndio wanaiongoza nchi indirectly. Sasa unaweza kudanganya watu lakini siyo siku zote.

Kumbe watu wamejua kuwa kelele zao ilikuwa udini tu sawa na ule wimbo wa Prof. Jay kwamba wanatangaza amani huku wameficha mapanga. Kilichokuwa kinapingwa na wao siyo mkataba ule bali ni watu gani wanakuja.

Hapo awali wadau mbalimbali walifafanua kuwa ule haukuwa mkataba Bali maafikiano tu ya ushirikiano wa kibiashata. Wao wakapinga sana na kusema ule ndio mkataba wenyewe na mpaka kuandika waraka wala hawakuhitaji kabisa kuelimishwa kitu ambacho kisipelekea wao kuandika waraka i.e walikurupuka na inaonesha uwezo wao mdogo wa kuainisha mambo.

Siku nyingine wawe wanakaa kwa kina kabla ya matamko ili kurudisha credibility yao japo maji yakimwagika hayazoleki.
wewe ni ng'omb kbs , yaan unachoafikiana kinaeza kuwa tofaut na unachoandikishana ( mkataba) , mijitu mipumbav ni mingi uraian na ndo mtaji wa ccmu
 
Niliandika mara nyingi kwamba hii tabia ya kuwaendekeza mambo ya dini kwenye maslahi ya Nchi sio sawa.
Mkuu samahani, hivi mapokezi yaliyofanywa na Makamu wa Rais kwa Cardinal Lauream Rugambwa yalikuwa official au alifanya yeye kama mtu binafsi?

Huku kwenye kahawa story ni nyingi. Naamini utanisaidia
 
Walitakiwa wapeleke maoni Yao na si waraka mana tayri wameleta taharuki na kuonesha kuwa nchi imeuzwa na hapa walitaka kufanya uhaini mkubwa sana mana watu wangeandamana na kuchinjana bila sababu yyoyote
Hao watu waliotaka kuchinjana kwa Sababu ya waraka wa TEC nani aliwazuia wasichinjane? TEC ilisema lini na wapi kuwa nchi inauzwa? Kweli wewe akili yako unaujuwa mwenyewe
 
TEC ARE JUST USELESS EATERS OF THIS BEAUTIFUL COUNTRY,WANAWANYONYA SANA HAWA NORMAL GOOD CHRISTIANS,INSHORT TEC NA BAKWATA NI WA KUPELEKA KWENYE CONCENTRATION CAMPS ZA HITLER...
hujui athari za ule mkataba walikuwa wanautetea ccmu , na ww ulivyo km ng'omb huelew mpk ss kwnn wamejistukia
 
Back
Top Bottom