Hatimaye tumeletewa Shumileta Part 3, Kiu ya mashabiki inaenda kukatika

Huyu mzee naye alikuwa mchawi jamani πŸ™ŒπŸΎ

Wale jamaa waliopanga kwenye nyumba yake walikiona cha moto.

Uchawi laivu na hapo alikuwa amemuweka msukule mke wake , inaogopesha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yote tisa hawa waigizaji ni wachawi jmn😳
Yani kama ni vizee ni vizee haswa anawatoa sijui bagamoyo huko ndani ndani , wanavaa uhalisia mpaka wanatisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watoe na kinyamkela, ilijua kunitishaa hii.. nsyuka nilijuaga ni mrisho mpotoπŸ˜†πŸ˜† kulala ilikuwa kasheshe enzi hizo..
Kwani sio mrisho mpoto yule Nsyuka??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Akipatikana mhusika atakaye weza kuwa katika muonekano kwenye hiyo picha unijuze niangalie lakini kama ni yaleyale ya kibongobongo sauti Ina mwangwi usinijuze

Vincenzo Jr
πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„jini hawaeleweki anataka nini bongo movie miyeyusho sana
 
Bi chonde yuko kwa kombolela km shangazi mwahija.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Niliwahi kumuona mara moja.

Maana siku hizi mambo ya tamthilia yamenipitia kushoto sana tofauti na miaka ile enzi za kidedea ,mambo hayo nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…