YoutubeShimileta namba 1&2 nazipata wapi.. nataka niweke kwa flash yangau
Hamna hamna hukos 32 age of yearsShangwe leo shangwe leo Shumi shumi shumi shumi shumiletaa malikia ni mzurii.. hahaha huu wimbo upo?
Nimeingia 36 huu mwaka😎Hamna hamna hukos 32 age of years
Mzee wa busaraView attachment 3536324
Wale jamaa waliopanga kwenye nyumba yake walikiona cha moto.
Uchawi laivu na hapo alikuwa amemuweka msukule mke wake , inaogopesha sana 😂😂😂😂😂😂
YumoNa Msisi wa msisiri kwenye kombolela naye yumo?
Yuko kwenye tamthilia ya Kombolela.Niliwahi kumuona mara moja.
Maana siku hizi mambo ya tamthilia yamenipitia kushoto sana tofauti na miaka ile enzi za kidedea ,mambo hayo nk
SawaYumo
Na busara zake 😂😂😂😂😂😂Mzee wa busara
Ni kweli.