Hatimaye Uingereza imemaliza kutoa raia wake Tanzania leo

Hatimaye Uingereza imemaliza kutoa raia wake Tanzania leo

Nchi nyingi tu zinawarudisha raia wake nyumbani, na UK Tanzania sio nchi ya kwanza kurudisha raia wake,juzi kati walichukua raia wao waliopo new zealand pia
 
Leo raia wapatao 200 wameondoka Tanzania kurudi Uingereza ikiwa ni kundi la mwisho la raia hao kuondoka.
Kuna wengine watakuja maana wamebuku ndege mpaka august watakuja kutalii.
 
Nakatisha mitaa ya airport muda huu naiona British airways inapakia mizigo
Hawa jamaa wako serious kweli
 
G Sam, hapo roho yako umefarajika!

Tuwatakie maisha mema huko kwao wasije kuambukizwa. Na ikiwezekana wafunge kabisa Ubalozi wao wasirudi tena. Watatumia Ubalozi wao ulioko Kenya kwa masuala ya Tanzania.
Umefarijika na nini mkuu? Mimi hakuna kitu kinachonikasirisha kama serikali kufanya usanii wakati watakaoumia ni walala hoi. Tusijidanganye, bado tunawahitaji sana mabeberu
 
Nadhani walipamisi kwao, acha waende tu hata wetu tulienda kuwachukua India, sidhani kama India hiyo kwao ilikuwa habari kubwa kwamba eti Watanzania wote wamesharudi kwao.
 
Sababu za kuondoka ni Corona tu au wamelazimishwa na nchi zao.....
 
Back
Top Bottom